Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

Mfalme wa Morocco - Kweli alistahili heshima ya Rais wetu Muadilifu Magufuli?

kama mtoa ahadi yuko hivi,tutaraji lolote?

ila nimefurahishwa na picha ya jani kwenye singilendi yakeView attachment 425885
Photoshop if you ask me! Dont be too easily duped.
But kama ni kweli basi Moroko hawana misingi mizuri ya kuandaa wafalme, haipendezi mwenye nchi kavaa nguo yenye rangi za bendera ya marekani na pia kavaa hivyo in public na TENA yeye ni mfalme wa nchi ya kiarab na bendera ya marekani.
Wenzetu waingereza, wanamuandaa mfalme kuanzia bibi yake mpaka yeye anazaliwa na atakula nini na kuvaa nini ma kwenda shule gani na kanisa gani!
 
Hili sakata ni zaidi ya hilo gugu... Je hao warembo watakuwa wamesalimika turudi nyuma twende mbele..??

NB: sijaiamini kabisa hii picha... Ila yupo hivo hivo hata kwenye zile shela zake..
 
KILA MTU ATAPITIA NGAZI ZOTE MAISHA,UTOTO-->UJANA-->>UTU UZIMA-->>>UZEE./ AS HUMAN.
n.b/ mtoa post hekima ni muhimu sana.
 
Mjadili na huyu mfalme mpya wa Thailand, halafu ukabangaize vidagaa. Wao wanaamua waishi vipi, hawazijui shida wenzio.
 

Attachments

  • 1477711263857.png
    1477711263857.png
    24.4 KB · Views: 50
Siku hizi ukiwa na uongo wowote ukiuweka social media watu wengine wanaubugia bila hata kujiuliza maswali ya msingi.

Kama mnataka kumsingizia mtu uongo, basi angalau tumieni akili yenye kujenga ushawishi.
 
Wakati unashangaa kuhusu mfalme kuvaa hiyo fulana, ona na hii ya Donald Trump, mtu ambaye mnampigia chapuo ashinde Urais huko Marekani
image.jpg
 
hii aibu kubwa sana kwa wale ndugu zetu,naamini kwa wale wakata suruali(wavaa pedo) hawataingia kabisa kwenye hiyo nyumba tusubiri gazeti la al-nuur au kisiwa wataitoa hii picha wakipondoa ufadhili wa mjengo
kama mfalme anakuwa hivi jee raia wa kawaida atakuaje? Huyu hata ugaidi atakuwa anafadhili
 
Ogopa Mungu kijana.
Mfalme wa Nchi anaweza kuvaa kipuuzi namna hii?
Au unadhani kupewa cheo cha UFALME ni kama balozi wa nyumba 10?

Mnaleta picha za kitoto kutukanisha watu na heshma zao?

Moderator please remove this post.
Au hamisha kwenye Jukwaa la vichekesho please.
mnashangaza sana nyie watu,kuitwa mfalme sio kua "mtukufu" huyo ni binadamu km wewe tu na ana maisha yake nje ya ufalme by the way mfalme hapigiwi kura anarithishwa uongozi so hakuna mchujo anaeeza hta kuwa mlevi mbwa na akawa mfalme...acheni mawazo ya ajabu.
 
Back
Top Bottom