shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,150
Interview ya huyo mchezaji hakusema uislam lakin media uchwara zinaandika uislam like ways to huyo mwanamfalme hakusema uislam, wew huoni kuna ajenda chafu hapa.Uislam unachafuliwaje hapo?
Halafu ujue context matters.
Huyu Prince kusema hayo maneno ingekuwa haina shida kama Wamorroco wenyewe kina Boufal wasingesema kuwa huu ushindi hauwahusu waafrika.
Ni sawa na Ufaransa inavyoshabikiwa na Waafrika.
Assume siku moja Mbappe aseme Ushindi wa Ufaransa hauhusu bara la ulaya ila ni kwa ajili ya waafrika tu.
Lazima wazungu wange feel some type of way.
Huyo mchezaji aliomba msamah, aombae msamah husamehewa why yeye. Except huyo mchezaji wachezaji wote walidedicate ushindi Africa mpka kocha. SAS why tusiende na hizi positive talks za wachezaj wengne, tumeng'ang'ana na udhaif wa mtu mmoja tena alieomba msamah [emoji2357][emoji2357]
Wew huoni tunahaki ya kutetea