Mfalme Zumaridi aachiliwa huru, amwaga uno mbele ya waumini

Ifike mahali, serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kupiga marufuku haya madini ya shetani. Watu wameanza kuabudiwa siku hizi, na doctrines zao ni nyota, fulani mchawi, etc kwanini wasifanye kama rwanda.

Dini ni imani yoyote ambayo inaaminiwa na wafuasi wake,unauhakika gani dini uliyonayo ndio dini ya Mungu,kaa tulia nchi huru hii.
 
Umejiaibisha kwa kukurupuka kwako ona saaa huu uzi unawenda kuutelekeza ..
 
Ifike mahali, serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kupiga marufuku haya madini ya shetani. Watu wameanza kuabudiwa siku hizi, na doctrines zao ni nyota, fulani mchawi, etc kwanini wasifanye kama rwanda.
Kwani dini gani una uhakika kabisa ni ya Mungu.
 
Tz kila mtu maarufu! Mara sheikh aliyetumbuliwa naye ana msafara, na huyu mfalme, Lissu, itakuja ya Lema!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…