Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Mfalme Zumaridi, Mama huyu ni nani na kwanini Serikali imemuacha tu?

Na kwanini usiwape wanaokwenda kwa madhehebu mengine? Au kwakuwa yameletwa na meli?
Kwani kuna mtu analazimishwa kwenda kwa huyo Zumaridi?
Shida hapo ni ujinga wa watu weusi kufuata kila upepo unaopita.
Ningekuwa mwenye mamlaka hapa nchini nisingelimsumbua huyo mama zumaridi, ila hao wafuasi wake ningewapa kichapo cha mbwa koko.
 
Sijaona kitu chochote kibaya kwenye hii video

nilichoona huyu mama mwenye uzito mkubwa anafurahia kutomaswa tomaswa mwili na vijana wa kiume, anawaangukia ananyanyuliwa, ni ndoto ya kila mwanamke kufanyiwa hivyo..

Mkuu mleta mada pambana na hali yako, waachie wenzio wainjoi maisha..
 
kama hautaki kucopy kwa wazungu na waarabu
Unatakiwa utembee uchi.
Ili tudumishe mila na desturi ya mtu mweusi
Angekuwa mzungu au mwarabu huenda mngeamini. Walau naye kaanzisha dhehebu la waafrika maana waafrika tu ndiyo tulikana madhehebu yetu na kuanza kufuata ya weupe na ndiyo maana ni bara maskini kuliko yote. Waindi wana madhehebu yao, waarabu pia, wachina, wazungu sisi ni wazee wa kucopy na tunajifanya tunaujua Ukristo na Uislam kuliko hata waanzilishi.
Go Zumaridi japo mimi siwezi kuwa muumini wako
 
Na .mwamposa tapeli mnamuachaje ?

Kabla hamjaanza na kina zumaridi ,malizaneni kwanza na kina mwamposa ,gwajima,rwakatale, kakobe, na wanaojiita manabii na mitume humu dar na mikoani ,
 
Kwani kuna mtu analazimishwa kwenda kwa huyo Zumaridi?
Shida hapo ni ujinga wa watu weusi kufuata kila upepo unaopita.
Ningekuwa mwenye mamlaka hapa nchini nisingelimsumbua huyo mama zumaridi, ila hao wafuasi wake ningewapa kichapo cha mbwa koko.
Ingekuwa vizuri hiki kichapo kianzie kwa wale wanaoabudu ng'ombe.
 
Na .mwamposa tapeli mnamuachaje ?

Kabla hamjaanza na kina zumaridi ,malizaneni kwanza na kina mwamposa ,gwajima,rwakatale, kakobe, na wanaojiita manabii na mitume humu dar na mikoani ,
Daaah! watakuwa wanafanya utapeli kwa maslahi gani mkuu
 
Back
Top Bottom