Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

Hapo kwenye uchawi nakataaa we mpemba hana mpinzani....
Mpemba mpaka umchokoze ndio utamjua yeye nani,au aroge kufanikisha jambo lake gumu lipate wepesi,ila bhangosha bhabha wanaloga sana kujifurahisha
 
Makafiri ndiyo wakristo?
 
Hizo ni tabia za jamii ambazo hazijaelimika. Walikosa exposure mapema.
Wapemba ndio jamii yenye exposure kuliko jamii yoyote Tanzania, ndio walianza mapema kutoka nje ya Nchi wamejaa kibao Nchi za kiarabu na common wealth kama Uingereza, Canada etc.

Hata hapa kwetu maeneo yenye biashara kama Kkoo wao ndio wame dominate, wao.

Hata ukienda Congo lubumbashi huko utawakuta Wapemba na Malori yao ya michanga, kifupi jamaa ni opportunists vibaya mno.
 
Kuhusu kumfunga alie mtia mimba mwanao haina mantiki bora amuoe tu hili amlee mwanae

Kuhusu kuoa wake wengi makabila mengine yaoa mke 1 huku mitaa wanavimada kibao

Kuhusu kuzaa watoto wengi Mungu akuweka idadi ya watoto ila makabila mengi ya tz yanapenda sana sitarehe hasa wanawake ndio maana awataki kuzaa watoto wengi

Kuhusu ulozi hilo ni kweli lakini makabila yote yana walozi ila yanazidiana tu
 
Raha mtoa mada atutajie kabila lake tulinganishe tabia na hayo alio yataja kama atakubali kutaja kibla lake niko hapa kijiweni na kunywa kahawa namgoja
 
Hapo kwenye uchawi nakataaa we mpemba hana mpinzani....
Mpemba mpaka umchokoze ndio utamjua yeye nani,au aroge kufanikisha jambo lake gumu lipate wepesi,ila bhangosha bhabha wanaloga sana kujifurahisha
Kwenye ulozi Wasukuma hawana mshindani Tanzania.
Wachawi wa Pemba, Tanga na Sumbawanga waungane bado hawataufikia moto wa Wasukuma.
 
Robo tatu ya watu ni wachafu kwa njia moja au nyingine kitendo cha mwanamke kuwa na mikucha kama bata iwe bandia au ya asili ni uchafu kuvaa mawigi ni uchafu tu
Ya watu au wanawake??
Maana umetaja sifa ambazo mara nyingi ama zote anazo mwanamke.
 
Hili nalikataa.
Unazungumzia wapemba ama waarabu walioloweya Pemba??
Kama ingelikua wapemba wana exposure Pemba isingekua masikini wa kutupwa kama ilivyo sasa.
Unlike wasukuma wa Mwanza na Shinyanga hujitahidi kujenga miji yao kama ilivyo wanyakyusa Mbeya.
 
Kampe mimba binti wa huko baikoko halafu ikataekama hujaota busha,Tanga ya milimani,Lushoto na Korogwe bado wana muamko wa elimu jichanganye
Tanga ukitia mimba asahivi ni mwendo wa ndoa za jamvi/mkeka.
Nimeliona sana hili mwanzange na mashewa.
 
Mpemba mpaka umchokoze ndio utamjua yeye nani,au aroge kufanikisha jambo lake gumu lipate wepesi,ila bhangosha bhabha wanaloga sana kujifurahisha
Umegeuza hiyo mzee.
Wapemba wanaroga hovyo kama hawana akili nzuri.
Nimekaa Bububu Zantel pale kulikua na wapemba wa tumbatu aisee so poa.
Hadi kikombe wanakurogea,mbaya zaidi wanapenda sana kutishia wenzao majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…