Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

Pemba haijengwi sababu za kisiasa, na ndio maana wapemba wengi wapo nje ya Pemba kuliko Pemba yenyewe. Na nazungumzia wapemba sio waarabu, hapa Kkoo si wachaga wala si wakinga wanaowafikia wapemba kuanzia spea, Madera, vifaa vya umeme wamejaa wao, kila majengo makubwa makubwa ya biashara ni wao wanayamiliki.
 
Jipange vizuri uandike kinachoeleweka, nimesoma nikarudia nikasoma niliona ulikuwa na hamu tu ya kutumia neno "kafir" dhidi ya wasukuma.
Hilo la wasukuma na wanyamwezi kuwa wengi upembani kuliko usukumani historia inaeleza vizuri bahati mbaya uliishia madrasa, hakuna mpemba alipelekwa usukumani kuwa mtumwa ila wasukuma na wanyamwezi walipelekwa upembani kuwa watumwa.
Posti yako haijakaa vizuri kuweza kujadiliwa kwa kina japo inafaa kupotezea muda.
 
Nadhani hujatupata swala la maendeleo, kusoma, kuwa na exposure, utajiri, kuwa kama machinga, kuwa na magorofa kariakoo tena ya kizamani sidhani kama mpemba anawafikia wasukuma. Pemba Iko kama sumbawanga!
Hakuna kitu kule zaidi ya kujigamba wengi wao ni mazalia ya nyege za mwarabu...
 
chakechake ni mgahawa ulitumia jina tu,ila mmiliki wake alikuwa msomali aliyezaliwa mwanza na kukulia mwanza
 
Kinachofanya Pemba isiendelee wala sio sababu za kisiasa.
HILO NAKATAA 1000%.
Jamii ya Kipemba ni jamii isiyo na uamko kielimu na kiupambanaji.
Hao jamaa hata waishi wapi maendeleo yao ni stagnant.
Huwa hawawazi nje ya box.
Mathalan Unguja ambayo imeendelea kuliko Pemba daladala zao hazijazi,basi sawa tuseme labda population inachangia,daladala mwisho saa 3 ukienda zako Forodhani ukachelewa shauri yako.
Duka mtu anafungua saa 3 asubuhi saa 6 kafunga anafungua tena saa 8 saa 12 kafunga ndio hadi kesho.
Ukimuuliza anakwambia nishapata hela ya kula nikae zaidi natafuta nini???
Mentality kama hii UNATARAJIA SEHEMU IKUE???
Kariakoo wamiliki wa hayo majengo wengi waarabu na wahindi wapemba WAKODISHA FREMU TU.
Nawajua hao watu wana akili mgando na wavivu sana hawana exposure yeyote akili inawaza duka ikifeli katika duka haina kitu kingine inawaza.
 

True, umenikumbusha majuzi nimepanda daladala iliokuwa ikitokea uwanja wa ndege saa mbili usiku kuelekea mjini, baada ya kukaribia vituo vya mjini kuna wale abiria wanaokuwa wanarudi na daladala njiani, sasa konda na dereva hawakuwa wanawaruhusu kupanda, nikamuuliza kondakta mbona mapema tu chukua abiria, akanijibu nimeshapata pesa ya kula niangaike tena ya nini..
 
Halafu mtu anakwambia Zanzibar haiendelei kwa sababu ya kisiasa.
Huyo mtu uje umshindanishe na msukuma wa Mwanza anaelima na kusoma kiuchungu ili amiliki jengo na gari kali ama mchaga anaefungua duka saa 12 asubuhi kesha akafunga saa 5 usiku kimaendeleo??!!!
Embu tuweni serious.
Hawa jamaa wa kisiwani waarabu wamewaachia shombo mbaya sana.
 
UMASKINI HUO!! Huna kazi ya kufanya basi ni ulozi,kudinyana na kuoa.
 
Hiyo ikoje mkuu?
 
Chagulaga ni nini nipe elimu mkuu.
 
Mada hizi za kujadili makabila ya watu unavutiwa nazo sana.
Uwe unafanya hitimisho baada ya wadau kuweka mawazo mbadala ili nyuzi zako ziwe zinatumiwa kama rejea. Asante!
 
Sasa why washike uchumi mahala popote wanapotoka?

Haya maneno pia tu naambiwa watu wa Tanga ila ukija dar sisi ndio tumeteka uchumi kwa kiasi kikubwa,

Eneo serikali inapolipuuza wale think tank wote wanaondoka na kutafuta maisha mahala pengine, wanaobakia lile eneo ni wachache, leo hii wakusanye Wapemba wote ni mamilioni ya watu, kuna Wapemba mpaka nafasi za juu majeshi ya nchi za Gulf, so huwezi ku judge kikundi kwa kuangalia tu maisha ya watu wachache waliobakia
 
Sijakuelewa huko juu mkuu ulipotaja watu wa Tanga,kama wa Tanga mmeshika uchumi Dar sehemu gani??
Kwa Tanga kabila lililo na uamko ni WASAMBAA TUU.Labda na Wabondei.
Wasambaa nakubali wapambanaji,ukitembea ngamiani kufika dongwe kuja mpaka njia ya kwenda Mwanzange na mabanda ya papa kote unakuta wamama wa kisambaa ndio wanahangaika kuliko hata wanaume.Wasambaa nawapa heshima mkuu ila sio mdigo ama mzigua ama mshihiri hao hapana.
Maana ukijaribu kuipima Dar maeneo mengi aisee watu wa kanda ya ziwa na kaskazini ndio wamepaendeleza ukiitoa CBD.
Ndio maana kaka nikakuuliza unazungumzia wapemba ama waarabu waliolowea Pemba??
Kama ni waarabu waliolowea pemba sawa ila sio wapemba hawa wa kina makame.
Na ukileta munajili huo aisee wasukuma wana wasomi bora kidunia na wanafanya kazi mataifa makubwa kuliko ya Gulf.
Hata madaktari bora Tz wengi ni wa kanda ya ziwa.
Sijapimia jamii ndogo kaka,hao watu nimeishi nao kaka na ndugu aina hiyo ninao.
 
Hallo wewe ndiye utakuwa ulinidhulumu majaruba yangu ya mpunga pale Ndevelwa!😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌.
Kaka Ndevelwa nilienda mdogo sanaaaa aisee maana nimezaliwa Dar ila nilipelekwa kutambika kwa wazee na kurudi.
Ila Nzega ndio nimekaa sanaaa nikiwa mkubwa na ninaenda na kurudi toka Dar kila mara.
Ila kama unasikia familia ya KIPPAYA ndio kina sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…