Mfanano wa kitabia kati ya Wasukuma na Wapemba

Basi,nimekufutia dhambi zako zote.Enenda kwa amani!
 
Kwa hiyo yeye anaishi kwa ajili ya kula?

Watu kama hao wanafaa kwenye nafasi za uongozi?
 
Kwa hiyo yeye anaishi kwa ajili ya kula?

Watu kama hao wanafaa kwenye nafasi za uongozi?
Wazanzibari asilimia kubwa wanazingatia kula na kuvaa.
Kama amepata kibanda hata hakijaisha basi atahamia tu aishi na hatohangaika kukimalizia madame analala na anakula basi yatosha.
Kidogo wale waunguja wamepembuka ndio maana unaona Unguja imeendelea.
 
Matajiri wengi wa dar utakuta asili zao ni Tanga, hao washihiri na wamahara si ndio wanamiliki vitega uchumi vingi dar? Kuanzia kina Gsm, Oil Com na wengineo? Ukitembea mjini ukiona shoppers, na masupermarket makubwa mengi ni watu wa Tanga. Project zilianzia Tanga sababu mji Umetelekezwa miundombinu zinahamia Dar.
Na mkuu mji ukishakua watu hawajitambulishi kwa kabila, mfano Tanga mjini ile mixture ya watu wa mjini kabisa ngumu kukuta ana kabila, unakuta mtu kachanganya mwarabu, mgunya, Mdigo, mbulushi, mbondei, msambaa inatoka product nyengine mtoto wa kitanga that's it.

Hata Dar toka ianze kuwa mjini watu ambao wamekua dar miaka 100 iliopita leo hii ngumu kukuta wakijitambulisha kwa Makabila ni watoto tu wa mjini.

Mambo mengine siwezi toa siri za watu ila kkoo Wachaga na wakinga hata nusu hawafikii Wapemba na siongelei waarabu naongelea hao hao kina makame. Kukuta Mpemba ana Ghorofa 20-30 kariakoo ni kitu cha kawaida.
 
Mkuu chagulaga ni Nini elezea vizuri ili serikali Ichukue hatua
 
Waache sasa kuilaumu Tanganyika kudumaa kwao kiuchumi.
 
Unachanganya mambo mkuu.
Wamahara sio asili ya hapa tena.
Hao ni yale yale sawa sawa useme Mpemba wa Kengeja huyo ni mwarabu tu kalowea kengeja.
NATAKA NIONE BLACK TANGAN BLACKISH MDIGO AMA BLACKISH MZIGUA amefanya uwekezaji mkubwa.
Wacheni kujificha nyuma ya hao waarabu koko.
Nenda Mwanza na Kilimanjaro wasukuma na wachaga wamejenga miji yao wenyewe aisee.
Nenda na Morogoro uone waluguru wanavyofosi kuikuza Morogoro aisee.
Narudia tena wapemba kariakoo wanapanga fremu hawamiliki maghorofa.
Ukija kuhusu vitega uchumi nitakutajia Kina Kairuki na wachaga na wahaya kibao wanaomiliki MAHOSPITALI,VITUO VYA AFYA ,VIWANDA VYA MADAWA YA HOSPITALI ,MASHULE NA VYUO VYA KATI NA VYA JUU HAPA DAR.
Pia ukizungumzia official works nyingi hao watu wa kanda ya ziwa na kaskazini ndio wameshikilia hatamu.
Na hata miji mingi Dar inayokua wao ndio wanaongoza kuikuza mathalan Mbweni,Mbezi makabe na Mbezi beach,Ununio,Tegeta,Kigamboni n.k n.k hata ukienda Oysterbay,Mikocheni na Masaki wao ndio wamejazana wahaya,wasukuma,wachaga n.k n.k.
 
Kwenye ulozi Wasukuma hawana mshindani Tanzania.
Wachawi wa Pemba, Tanga na Sumbawanga waungane bado hawataufikia moto wa Wasukuma.
Wasukuma wananua uchawi,wazigua Wapemba waha sumbawanga haya makibila ayanunui uchawi bali mtu akizunguka nyuma ya nyumba tu anachimba mzizi anakulipua
 
Ushawasahau wafipa eeeh!?
Umewasahau na waha wa Kigoma.
Ukawasahau na wangindo na wanyasa.
Kweli nimefika nyasa ni hatari mtu kujenga nyumba ya kisasa mpaka awe mlozi lakini kiboko yao waha wazigua Wapemba wafipa msukuma hana uchawi bali yuko tayali kuuza ng,ombe kwenda kununua uchawi kwa makabila yote ya tz hata kuvuka maji kwenda kongo
 
Hakika lakini wameanza kupitwa mbali
 
Tunawabeba sana

Mkuu Ubishi tu Hapa uishe, siku ukija kujua utakumbuka maneno yangu, ila kwa macho yangu Nawafahamu Wapemba weusi tii, hao kina makame u aowasema hapa sio mmoja sio wawili wenye Maghorofa ya kutosha, kuna Mpemba namjua by average anajenga Maghorofa mawili ama matatu kkoo na haja anza leo ama jana zaidi ya miaka 20 sasa, mtaa wa Vijora kkoo ile ni Biashara ambayo exclusive wameianzisha wao kuanzia majengo, mpaka hao wamiliki wa fremu, maeneo ya Wanyama Hotel kuja nyamwezi mpaka shimoni, Anzia spea ile lumumba mpaka unakuja msimbazi, then nenda Agrey kwenye simu, nenda mpaka China Plaza, nenda mpaka shauri moyo na lindi kuja tena hadi Msimbazi wamejaa wao, spea na simu, na Wengi hawana mitaji ya kubabaisha.
 
Hakika lakini wameanza kupitwa mbali
Yes wakinga wanakuja kwa kasi, ila ni kwa baadhi ya biashara still kuna vitu kama simu, Nguo za kipwani, spea, vifaa vya umeme vya decoration, maduka ya dawa za asili, maduka ya jumla ya kula wana dominate wao.
 
Aya huwenda ni kweli nisipinge maana hata wazaramo wapo wanaomiliki maghorofa kariakoo.
Ila ndio biashara zao hizo out of that ngumu kumeza.
Cha kujiuliza kwanini wasingeunda hizi biashara Pemba tumbatu wakaiendeleza Pemba?
 
Aya huwenda ni kweli nisipinge maana hata wazaramo wapo wanaomiliki maghorofa kariakoo.
Ila ndio biashara zao hizo out of that ngumu kumeza.
Cha kujiuliza kwanini wasingeunda hizi biashara Pemba tumbatu wakaiendeleza Pemba?
Ndio maana nikakupa mfano Tanga, kama hakuna miundombinu hakuna mtu atakaefanya uwekezaji, leo hii kajenge hotel ya kisasa Pemba, kajenge kiwanda, kajenge chochote halafu barabara vumbi, hakuna Hospitali, hakuna maji ya uhakika, umeme wa uhakika etc utatoboaje?
 
Ili kuwe na miundombinu lazima kuwe na sababu ya kuweka hiyo miundombinu kaka.
Hata hiyo Morogoro ambayo sasa hivi ni miongoni mwa mikoa inayokua jwa kasi hawakulimbikiziwa tu miundombinu ndio watu wakajaa kaka.
Kuna vitu vilivutia watu na ongezeko la watu likavutia uanzishwaji wa miundombinu wezeshi kwaajili ya hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…