Mfano mimi ndio baba mkwe wako sasa, hebu nishitakie tabia za mwanangu

Kwenye mahusiano wapo, ila nahisi inabidi muanze kama marafiki ndio mfike kwenye mahusiano, na kwenye huo urafiki uwe ule wa masihara mengi ili mzoeane kwa urahisi.

Japokuwa mm niliwahi kupata demu tunaendana vibe Kw 100% Na tulianza kwenye mahusiano moja kwa moja, yani ukitukuta tunatembea Au tunaongea Huwezi kujua n wapenzi mana tunaweza hata kusutana 😂
Mbaya Tulia chana baada ya mambo fulani fulani khs yeye
 
yooo pole san,,, mi nimesema mahusiano yooote kwa ujumla bwana sio hayo ya kimalavidavi pekeake,, we haujawahi kuona familia ya watu wengi kuna ndugu hawapatani?,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…