mshikilie sana huyo mtu asee na umtunze kwa wivu mkubwa sanaโบ๏ธ๐คYah ipo hy kwa ndugu.
Mm na huu umri wangu, rafiki ambaye nayeweza kusema mbele za watu kuwa huyu n rafiki n mmoja tuu ๐
RadhaโSasa si ana tafuta radha ilio
Bora mvumilien ๐๐ au mroge
naelewa sisy,, mara nyingi huwa napenda kujihudumia kwa vijisent vyangu,,Si unajua tena..... Tunatengeneza maandalizi ya kula + kuliwa na kuwakamua muamala uliotuna.
Binti kumbuka pesa inategwa na haitafutwi kwa mwanaume.
Nna 29mshikilie sana huyo mtu asee na umtunze kwa wivu mkubwa sanaโบ๏ธ๐ค
kwan umri wako unarange kwenye ngapi vilee nishasahau๐
Unamvunjia heshima baba mkwe ๐Lina nyonya m b o o mnoo toto lako mpk kichwa kina waka moto ka copy kwa mama yake nn
aseee mdumu zaidi na zaidi kisitokee chochote cha kuwatenganisha,,, nimewapendaNna 29
Jamaa mwnyw tumejuana kazini hatuna hata miaka mitano, ila ni kama familia kwangu aisee ๐
Unyama ๐aseee mdumu zaidi na zaidi kisitokee chochote cha kuwatenganisha,,, nimewapenda
pokea kumbato langu ๐ค
Hakuna asiye na visent...naelewa sisy,, mara nyingi huwa napenda kujihudumia kwa vijisent vyangu,,
ninacho shukuru ni kwamba nilipewa akili na nguvu ya kutafuta pesa,,, sipendi kuwa tegemezi kabisa ๐๐
with or without him i can survive
unapewa kumbato unajibu unyama?Unyama ๐
Sisi watu wa Arusha hutujui kubembeleza, nisamehe.unapewa kumbato unajibu unyama?
nimelia sana๐๐
kwenye wish yangu mojawapo ni hiyo ya kukaa meza moja tukifurahi nikiwa na watoto wangu wawili pamoja na baba yao mzazi๐ค๐ค I pray hard,,,Hakuna asiye na visent...
Unajua ile feeling ya kula na watoto na baba meza moja wote tukafurahia????
Unajua maana ya familia kukaa pamoja na kufurahia???
Unajua maana ya amani ambayo inawawezesha kuwa familia pamoja????
Basi kumbe Kuna vitu tunafanya si kuwa hatuna sent pengine zaidi ya sents.
Ndo pale tunaita familia imara yenye upendo. Na usijidanganye vyote hivyo vinaenda na pesa.
kwamba kina misumari au mawe mazito ๐๐๐๐Sisi watu wa Arusha hutujui kubembeleza, nisamehe.
Nimekukumbatia pia, Japokuwa kifua chako kimeniumiza ๐
Misumari n mirefu Sana, cjui n inch ngapi Hizo ๐kwamba kina misumari au mawe mazito ๐๐๐๐
1 uko sawakwenye wish yangu mojawapo ni hiyo ya kukaa meza moja tukifurahi nikiwa na watoto wangu wawili pamoja na baba yao mzazi๐ค๐ค I pray hard,,,
hii dhana ya kusema kuolewa na kuwa na familia sio kwa kila mtu mimi nakataa kabisa sitaki niwe kwenye hilo kundi kabisa
na kwenye maombi yangu ya sasahivi ni pamoja na kuomba nikutanishwe na watu sahihi wenye postive mind pekeake,,, hiyo miaka 23++ kama hawakunionea vya kutosha imekula kwao,, sio sasa hivi tena
tuombe uzima nitakuletea ushuhuda big sisy๐โบ๏ธ
Kwamba hutak kuolewa?kwenye wish yangu mojawapo ni hiyo ya kukaa meza moja tukifurahi nikiwa na watoto wangu wawili pamoja na baba yao mzazi๐ค๐ค I pray hard,,,
hii dhana ya kusema kuolewa na kuwa na familia sio kwa kila mtu mimi nakataa kabisa sitaki niwe kwenye hilo kundi kabisa
na kwenye maombi yangu ya sasahivi ni pamoja na kuomba nikutanishwe na watu sahihi wenye postive mind pekeake,,, hiyo miaka 23++ kama hawakunionea vya kutosha imekula kwao,, sio sasa hivi tena
tuombe uzima nitakuletea ushuhuda big sisy๐โบ๏ธ
inch 100๐๐๐๐Misumari n mirefu Sana, cjui n inch ngapi Hizo ๐
hebu rudia kusoma kwa utaratibu kijana wangu๐๐๐คKwamba hutak kuolewa?
Na bado huna mtoto?
amina amina๐๐ค1 uko sawa
2. Hii si kwa kila mtu Bali ni kwa aliye tayari, na si Sheria. Unaweza kuwa vyovyote upendavyo na ukafurahia maisha yako.
3. Mtu sahihi utampata kwa wakati sahihi.
4. Ushuhuda wako uendane na uhalisia wako na hitaji lako. Kila la heri
Nimesoma taratibu na kila nenohebu rudia kusoma kwa utaratibu kijana wangu๐๐๐ค