Unajua kusoma kweli?Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
Uzuri ni kwamba hata hao viongozi wao wanajua kama wafuasi wao ni mazamwamwa hawahoji..wao wanachojua ni kukandia tu serikali,sasa hivi washawaandalia vimada wao zile nafasi kule bungeni na ndio maana wanalazimisha.Hapo inatafutwa njia ya kuchangisha wanachama ili viongozi wapige Hela, walimpiga sabodo milioni 500, aliwapa za kujenga Ofisi, miaka nane iliyopita,mpaka Leo hakuna hata tripu ya mchanga
Hilo jengo likijengwa sasa itakuwa POA sana. Lakini lingejengwa kipindi Cha mwendazake lingevamiwa na kuchomwa moto.Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
View attachment 2225211
CCM walishajenga jengo gani.Chadema mna haraka gani? Ujenzi haujaanza mmeshaanza kutuma picha, Mbona CCM huwa hawafanyi hivi?
Unajamba tuUzuri ni kwamba hata hao viongozi wao wanajua kama wafuasi wao ni mazamwamwa hawahoji..wao wanachojua ni kukandia tu serikali,sasa hivi washawaandalia vimada wao zile nafasi kule bungeni na ndio maana wanalazimisha.
Wanawapanga nyumbu wao waanze michango, jamaa wapigeChadema mna haraka gani? Ujenzi haujaanza mmeshaanza kutuma picha, Mbona CCM huwa hawafanyi hivi?
Depression si real!Unajamba tu
Hawajajenga mzee, huo ni mchoro tu wa 3D! Yaani wanaota kwamba watajenga jengo kama hilo.Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
CCM Ni akina nani hapa nchini? Fafanua, wengine hatuwajui.Chadema mna haraka gani? Ujenzi haujaanza mmeshaanza kutuma picha, Mbona CCM huwa hawafanyi hivi?
😀Baada ya kusemwa sanaMfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
View attachment 2225211