KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Wee jamaa umeambiwa ni picha na ndivyo muonekano tuakavyokuwa,wewe unauliza lilipojengwa dah haya nia yako imetimia jibu litajengwa ilipokuwa Makao makuu ya ccm kwani lile eneo ni letu sote!😀Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
😀😀