Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

😀Baada ya kusemwa sana

Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5

Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Muulize Membe kwanza, democracy imo humo?
 
Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
Haita kuja kutokea kama walishindwa kujenga kipindi cha Sabodo Yule muhindi aliwapa pesa nyingi tu zikaishia mifukoni, na Pia lowasa nae aliwapa mapesa mengi tu napo wakashindwa kujenga ata msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..Chadema waepuke kuiga na kutamani kila kitu walichonacho Ccm.

..Ccm wana maofisi makubwakubwa kitu ambacho ni gharama.

..Ccm wana magari ya bei mbaya ya kifahari, ma-V8, ambayo ni gharama nyingine.

..Ccm ina watumishi wengi sana ambao wote wanahitaji kulipwa na kutunzwa.

..Chadema wajielekeze kuendesha chama kwa kutumia gharama ndogo, na watu wachache wanaofanya kazi kwa ufanisi.
Upo sahihi kabisa mkuu.
 
2010 Sabodo aliwapa pesa wanunue kiwanja pale mwenge. CHAIMEN akaitumia kuzini na Mukya
 
[emoji3]Baada ya kusemwa sana

Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5

Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Wakibadili uongozi chama kitakufa muda mfupi, wabaki viongozi wasiotingishika, ambao hata ukimweka ndani kwa kesi kubwa ya ugaidi wako tayari hawabadili msimamo. Chama kibaki hivyo kisibadili uongozi mpaka malengo ya mageuzi yafikiwe, wakibadili uongozi, hata suala dogo tu Kama hili la wasaliti Covid 19 linaua chama.
 
B24F6FA6-7292-4043-884E-DC4E194F1059.jpeg
 
Naona watu wa hovyo Maccm wanavyo puyanga na hii taarifa, wapo kama kuku aliekatwa kichwa.
Taarifa ngumu kumeza hii kwa Sycophant za Lumumba yametahayari.
 
Back
Top Bottom