Rwankomezi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 3,285
- 2,636
Hata mimi nimewaza hivyo hivyo🤣
Wewe umewaza tu ujinga bila kuwaza,kwani chadema chama kilianza kipindi cha JPM,kama sio mbona hawajawai kujenga hizo ofsi kipindi cha Mkapa Na JK?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimewaza hivyo hivyo🤣
CCM majengo yao mengi si ya kurithi tu?!Chadema mna haraka gani? Ujenzi haujaanza mmeshaanza kutuma picha, Mbona CCM huwa hawafanyi hivi?
Kumbeeee! Ni kama mchoro wa uwanja wa mpira wa wana jangwani wakati wa kampeni za kumpata muwekezaji@😂😂😂Hawajajenga mzee, huo ni mchoro tu wa 3D! Yaani wanaota kwamba watajenga jengo kama hilo.
Kwani hujui jinsi Magu alivyokuwa anawahujumu na kuwaandama kwa kesi ili wakose focus?Hii na ile nyingine mliyoitoa 2016 ina tofauti gani? Na mpaka leo hatujaona msingi wa plot location.
Hakuna jengo lolote la ccm, wao naomi wanatuonesha picha tuu kama chadema.CCM walishajenga jengo gani.
Angalizo zuri. Isijekuwa kama yale magari au gazeti letu pendwa.Hakikisheni kuna uwazi kwenye umiliki wa hicho kiwanja otherwise mtajenga kwenye kiwanja cha Mwenyekiti.😁.
Ya mwaka jana ikojeKila mwaka mnakuja na ramani mpya
Hayakuhusu .....😀Baada ya kusemwa sana
Bado jambo moja... kuwe na ukomo wa awamu ya uongozi.. maximum iwe vipindi viwili vya miaka 5 kwa 5
Siyo kiongozi anakuwa kiongozi wa milele halafu mnahubiri deomokrasia; demokrasia ianze ktk vyama kwanza
Leteni picha ya jengo la sasa tuone lipi Zuri kati ya hili la ndotoni na mnalotumia kwa sasa.Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
View attachment 2225211
Naunga mkono hoja..hizo fedha zingeelekezwa kuimarisha chama mpaka ngazi ya chini.
..bado sijaona haja ya Chadema kuwa na makao makuu ya kifahari na gharama kiasi hicho.
..TEKNOLOJIA imebadilika kiasi kwamba hakuna ulazima wa makampuni kuwa na maofisi makubwakubwa.
Naunga mkono hoja
Point Zimejaa hapa kwenye comment yako!..Chadema waepuke kuiga na kutamani kila kitu walichonacho Ccm.
..Ccm wana maofisi makubwakubwa kitu ambacho ni gharama.
..Ccm wana magari ya bei mbaya ya kifahari, ma-V8, ambayo ni gharama nyingine.
..Ccm ina watumishi wengi sana ambao wote wanahitaji kulipwa na kutunzwa.
..Chadema wajielekeze kuendesha chama kwa kutumia gharama ndogo, na watu wachache wanaofanya kazi kwa ufanisi.
Nimeona Majengo kadhaa yanayosemwa ndo Ofis za chadema ! Kuna Ofis ilioneshwa kuwa imegharimu Milion 80 na haijamaliziaka nilijiuliza sana Hivi nani anaratibu michango inayochangishwa na natumizi yake ?
Tujenge taasisi imara zenye uwezo wa kuhoji Alafu baadae tujenge Taifa imara !!
Chadema wote ni ndiyo mzee hakuna wa kuhoji mambo ya msingi!
Nawatakia kila la heri kwenye ujenzi wa ofisi
Britanicca