Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
Wee jamaa umeambiwa ni picha na ndivyo muonekano tuakavyokuwa,wewe unauliza lilipojengwa dah haya nia yako imetimia jibu litajengwa ilipokuwa Makao makuu ya ccm kwani lile eneo ni letu sote!😀
😀😀
 
Nimekuja mbio Kuona Jengo ...Kumbe jengo ni 'Linalotarajiwa' ...!
Itakua ulikua unakua wa mwisho darasani Kila matokeo ya mitihani.

Mwenye mada kaandika "mfano wa jengo la chadema"
Wewe umekuja mbio kuona jengo.

Kinachowafanya mfeli mitihani ni kutokusoma maelekezo.
 
Kinachokusumbua na kukutia mawazo finyu wakati hakuna siku uliyotoa senti yako ni nin?

Waliochanga hawajalalamika utalalamikaje wewe usiyechanga.

Wacha upimbi.
 
Kwani na wewe siulitafuta mtaji kwanza kabla ya kuanza kuuza Kangala🤸
 
Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.

Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu.

Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine mengi.

Hii ni Ramani ya Utakaokuwa
Muundo wa Ofisi ya Chadema
Makao Makuu, Itajengwa kibaha
Ofisi itajengwa Kwa nguvu ya umma.
View attachment 2225211
View attachment 2227860View attachment 2227861View attachment 2227862

View attachment 2227863
Safi sana
 
Hii project imeishia wapi?

Back
Top Bottom