Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

Mfano wa mwanaume wa kuigwa katika maisha ya kila siku

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.

Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.

Picha Mpya ya Mwanaume

Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪

2026_05_25_12.06.37.jpg
 
Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    629 KB · Views: 16
Kila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.

Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.

Picha Mpya ya Mwanaume

Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
yaani awe mamluki na mfuata mkumbo wake right, gentleman?🐒
 
Huu ni udhalilishaji unaofanywa na mtu alieshiwa hoja

Umeishiwa hoja kabisa😢
Yes,
ukweli hua ndivyo ulivyo, una kera na kuuma sana ukiwekwa wazi,
lakini ni vizuri usemwe kikamilifu bila woga wala aibu na upokewe kiungwana bila yeyote kuweweseka na kwakweli itapendeza zaidi.

hakuna mwanaume kamili pale ndugu mdau wa maana sana JF 🐒
 
Huyu mwanaume ana uwezo
Ujasiri wa kusema hii ni nyeusi hii ni nyeupe kitu ambacho wewe huwezi kusema kwa sababu ya maslahi yako binafsi

Ujasiri wa kusema ukweli bungeni
Kupigania utawala wa sheria
Kusimama dhidi ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka
Hii ndio sababu mna mchukia😢
 
Back
Top Bottom