ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #41
MashaAllah 😍Alhamdulillah Mungu ni mkuu
MashaAllah 😍Alhamdulillah Mungu ni mkuu
MI'm sio mwanasiasa. Ila niku adapt na mpizani ujue madhaifu yake then uyatumie. Hakuna democracy hapa so anatakiwa ajue how to win without shedding bloodToa ushauri ni wapi awe anaongea ni wapi akae kimya
Kwa comment hii itoshe kusema wewe mdau upuuzwe tutakutana kwenye mada zingine hii ya leo tuishie hapasawa ndugu mdau mwenye mihemko na hoja zake,
but ukweli utasemwa daima na upotoshaji utasahihishwa kadiri iwezekanavyo hapa jukwaani bila kuchoka wala kukata tamaa,
kwani wew una uhakika upi kwamba kibaraka alikoswakoswa kupelekwa chini ya ardhi kama sio porojo na upotoshaji useless, wa kutafuta kiki na public sympathy?🐒
Asante una kituMI'm sio mwanasiasa. Ila niku adapt na mpizani ujue madhaifu yake then uyatumie. Hakuna democracy hapa so anatakiwa ajue how to win without shedding blood
karibu sana ndugu mdau mihemko ikitulia au utakapopata wasaa wa kuhitaji ushauri wa kitaaluma kuhusu masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi,Kwa comment hii itoshe kusema wewe mdau upuuzwe tutakutana kwenye mada zingine hii ya leo tuishie hapa
Cc:🐒
🙏🙏karibu sana ndugu mdau mihemko ikitulia au utakapopata wasaa wa kuhitaji ushauri wa kitaaluma kuhusu masuala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi,
usisite kunitag,
siku za alhamisi tu ndio nakua available inbox,
lakini huyo kibaraka hafai kua mfano wa kuigwa na mwanaume kamili yeyote, kwasababu huyo ni nyanya tu 🐒
karibu sana aise ndugu mdau 🐒
Nikaribie unifundishe nini ?karibu sana aise ndugu mdau 🐒
yapo mambo mengi tu ya kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu juu yake,Nikaribie unifundishe nini ?
Njoo uchukue kadi yenu
Kuliko unifunze wewe bora niolewe na ndugu yako Lukayapo mambo mengi tu ya kujifunza, kuongeza uelewa na ufahamu juu yake,
lakini pia utapata ushauri bure kabisa bila gharama yoyote ukilinganisha na wengine 🐒
Huyu mwanaume ana uwezo
Ujasiri wa kusema hii ni nyeusi hii ni nyeupe kitu ambacho wewe huwezi kusema kwa sababu ya maslahi yako binafsi
Ujasiri wa kusema ukweli bungeni
Kupigania utawala wa sheria
Kusimama dhidi ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka
Hii ndio sababu mna mchukia😢
ondoa dhana potofu,Kuliko unifunze wewe bora niolewe na ndugu yako Luka
Utanijaza ujinga utakaongamiza masha yangu yote
SawaDeserve hugs not a words
amepaka super black sio kuondoa rangi ya ugoro kichwani au alikua vile vile hardcore?
Acha ujinga basi 😡amepaka super black sio kuondoa rangi ya ugoro kichwani?
na je,
alikuja na kontena la ubwabwa hadi mahakamani tena leo?🐒
Fursa kwako ?ondoa dhana potofu,
usiwe kama wafuata mkumbo wengine,
fursa hua hazijirudii mara2 ndugu mdau 🐒
calm down plz ndugu mdau,Acha ujinga basi 😡