ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #21
Hata sijui kwaniniš¢Imekuaje anakosa huduma ya kuweka sawa nywele zake!
Hata sijui kwaniniš¢Imekuaje anakosa huduma ya kuweka sawa nywele zake!
Atakumbukwa na vizaziJina na legacy atakayoiacha hapa duniani bwana TL na idumu milele.
Daaaaah free TALKila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu Antiphas Mughwai LissušŖ
View attachment 3594710
Sijambo kaka vipi weweAsante sana, hujambo lakini?
Japo mi ni CCM ila imeniuma sanaSijambo kaka vipi wewe
kwani kusema ni nini bana japo unamsingizia?Huyu mwanaume kwa kifufi yaan kiduchu alikua na bado ana uwezo
Ujasiri wa kusema hii ni nyeusi hii ni nyeupe kitu ambacho wewe huwezi kusema kwa sababu ya masrahi yako binafsi
Ujasiri wa kusema ukweli bungeni
Kupigania utawala wa sheria
Kusimama dhidi ya rushwa na matumizi mabaya ya madaraka
Hii ndio sababu mna mchukiaš¢
Kua CCM hakukufanyi ukose utuJapo mi ni CCM ila imeniuma sana
Gentlewoman be kindlykwani kusema ni nini bana japo unamsingizia?
hiyo hua ni mropokaji, hajui kusema.
acha upotoshaji bas,
apigane wapi huyo mtu wa kuelekezwa na mabwenyenye ya magharibi na kufuata mkumbo kama nyumbu?
sema anapigania haki ya ndoa za jinsia moja kwasababu nae yupo ndani ya jamii hiyo š
relax gentleman,Gentlewoman be kindly
Tuishie hapa maana huna hoja tena mimi nilichosema kumhusu yeye nikitu amefanya kila mtu anajua ameona mapka akakoswa koswa kupelekwa chini ya ardhi kilazimakwani kusema ni nini bana japo unamsingizia?
hiyo hua ni mropokaji, hajui kusema.
acha upotoshaji bas,
apigane wapi huyo mtu wa kuelekezwa na mabwenyenye ya magharibi na kufuata mkumbo kama nyumbu?
sema anapigania haki ya ndoa za jinsia moja kwasababu nae yupo ndani ya jamii hiyo š
Wanajua ndio maana wanampkia majungu dailyHuyu ndo Mwamba OG, hata wanaomkataa wanajua ni mwamba.
hata wanaotaka asitoke mahabusu wanajua ni mwamba ndo maana wanaogopa asitoke.
huyu atajengewa sanamu yake kwa heshima
Toa ushauri ni wapi awe anaongea ni wapi akae kimyaHe has nothing to loose.
He's destined for something..
Ila lisu Huwa anakuwa na dark side Moja. He's so egoistic. Hajui aongee wapi na aache wapi.
Asante hao wengine wapumzike kwa amaniWapo kibao , kina mdude ,kaswahili , soka , Jacob mlay, mzee kibao, Frank mbise na wengine wengi , bila kuwasahau waojeruhiwa na walipoteza maisha 29october.
Alhamdulillah Mungu ni mkuuSijambo kaka vipi wewe
Ni kweli, lakini bado hatujamsahau yeye pamoja na wenzake waliopotezwaWe are not truly free if one of us is not free!
sawa ndugu mdau mwenye mihemko na hoja zake,Tuishie hapa maana huna hoja tena mimi nilichosema kumhusu yeye nikitu amefanya kila mtu anajua ameona mapka akakoswa koswa kupelekwa chini ya ardhi kilazima
Je wewe hizo tuhuma za udhalilishaji una uhakika nazo au umeiahiwa hoja?