Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,192
- 6,384
Yes
Ulaya na Marekani wanatamani angekuwa waoKila mwanaume kamili angependa awe na ndugu, kaka, baba au rafiki kama TL.
Na kila mwanamke angependa kuwa na mwanaume, kaka au baba mwenye msimamo kama TL.
Picha Mpya ya Mwanaume
Tundu Antiphas Mughwai Lissu💪
View attachment 3594710
Legacy mlimaJina na legacy atakayoiacha hapa duniani bwana TL na idumu milele.
its more moral boss, wachache wanaelewa hlo.Imekuaje anakosa huduma ya kuweka sawa nywele zake!
Ni kweli babu sio wote wanaweza kukaza wakiona shiringi mezaniAmechagua msemo wa "bora kufa umesimama kuliko kuishi kwa kupiga magoti"
Sio wote wenye hizo guts
relax gentleman na uache mihemko nonsense na itapendeza zaidi aise, right?🐒Mwashambwa we wenzako kina Baba Levo wanatoboa na hawajawahi kumiliki Magazeti kama yako.
We ni fala kabisa.
Ushaskia ?
tuliza mihemko useless bas ndugu muerevu mwenye akili kubwa,🐒WE jamaa akili huna,acha siasa za kijinga
Amina mwana wa Mungu 🙏natumai mzima wa afyaBwana Yesu asifiwe Mchungaji
Mimi mzima sadaka nitume kwa no ipi?Amina mwana wa Mungu 🙏natumai mzima wa afya
Sadaka tuwape watoto wenye uhitaji wasio na makazi wala chakula tule nao,tuwalishe wasio na mavazi,tuwasaidie wagonjwa waliokosa msaada,kati ya hayo naona ni ibada nzuri zaidiMimi mzima sadaka nitume kwa no ipi?
Mchungaji umeruka kihunzi 😅Sadaka tuwape watoto wenye uhitaji wasio na makazi wala chakula tule nao,tuwalishe wasio na mavazi,tuwasaidie wagonjwa waliokosa msaada,kati ya hayo naona ni ibada nzuri zaidi
in fact,Unajitahidi kuvaa sura mbili ila ndio vile zinagoma ndugu Lucas .
Unaonekana una moyo mzuri sana😍Natamani hata niwe hao askari namsindikiza kizimbani huku tunapiga nae story mbili tatu
Like Bro how do u handle this?
Where do you get the courage?
How far will be enough?
Just randomn chart.
Kumbe wewe ndio Luka 🤔
wawapi tena hali ya kua mimi ni mimi mwenyewe?Kumbe wewe ndio Luka 🤔

Amezaliwa umbumbuni 🤔Tatizo ndio amezaliwa kwenye nchi ya wananchi ambao sio wanaharakati na watawala ambao hawataki raia wenye akili kubwa. He is a victim of his high intelligence capability
😂😂😂Mchungaji umeruka kihunzi 😅
Kweli wewe ni mpakwa mafuta 🤪