Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Nilichogundua ni kwamba huku kwenye siasa Kuna wezi na majambazi wengi sana wanazotumia kivuli Cha uanachama hasa CCM kupiga deal chafu
 
Mimi kwa kipindi hicho na sikuwa na pesa siwezi kumsema vibaya kikubwa ni kumulmbea Mungu amfanyie wepesi.

Na Sina hakika kama katapeli kweli au laa maana MFUMO wa mahakama wenye kutoa haki haujamtangaza rasmi kuwa tapeli.

Ukifuata wanasiasa wengi hupenda kujitengenezea umaarufu bila kuja upande mwingine na ndiyo maana maamuzi Yao wakipelekwa mahakamani yanatenguliwa!!
Usituletee maigizo na huyo tapeli mwenzako
 
Wewe ni pumbavu mkubwa,soma comment kwanza ili uielewe,DPP atapeleka mashitaka gani mahakamani bila ya police kuchunguza na yeye DPP ku apply mind ili kuona ana winnable case?,tatizo la nchi hii imejaa wapumbavu wengi kama wewe ambaye umeshaona ni sawa kuishi ndani ya draconian rules
Tapeli lako limekwisha,za mwizi ni 40 na zimetimia tayari, mwendo wa kuelekea gerezani amesha uanzaa kule police, akitoka police jalada lake linakwenda kwa DPP, DPP nae atalisogeza mahakamani, Mahakama nayo itawapelekea Magereza ili Tapeli lako lihifadhiwe huko! Na huo ndiyo mnyororo wa haki jinai unakua umetimia barabara!! Nyie ma wakili wa michongo safari hii hampati kitu, Matapeli yote tunaenda kuyaweka nyuma ya Nondo ili mfee njaa na hivyo vi office vyenu lazima mtazifunga,hatucheki na kima safari hii!!
 
Tapeli lako limekwisha,za mwizi ni 40 na zimetimia tayari, mwendo wa kuelekea gerezani amesha uanzaa kule police, akitoka police jalada lake linakwenda kwa DPP, DPP nae atalisogeza mahakamani, Mahakama nayo itawapelekea Magereza ili Tapeli lako lihifadhiwe huko! Na huo ndiyo mnyororo wa haki jinai unakua umetimia barabara!! Nyie ma wakili wa michongo safari hii hampati kitu, Matapeli yote tunaenda kuyaweka nyuma ya Nondo ili mfee njaa na hivyo vi office vyenu lazima mtazifunga,hatucheki na kima safari hii!!
Fair enough ungeazia na real owners wa UDA na Nyati cross borders transporters,na pia lile hekalu pale msoga,yule mpangaji mkuu alilijenga kwa mapato yake halali au kodi yangu ilikua pitched,Tanzania lazima iendeshwe kisheria,ulivyoelezea hapo juu ndio Serikali ya ccm inavyofanya,tayari hukumu imeandikwa Lumumba street
 
ukishaona mtu anajifanya sijui nabii sijui mtume sijui matamsha ya dini gani sijui kaa naye chinjo atakuwa ana mambo yake nje ya pazia tu.
 
mkuu Kashishi yetu mtu kusaidia watu si kigezo cha huyo mtu kuwa mwema, unaweza kuona mwema kwa vile alikusaidia ila kuna anaowaumiza vibaya mno, kuna mwamba moro alikuwa anasaidia watu sana na mtoaji mzuri kanisan, ila nyuma ya pazia ni mafia hatar, wahindi wa moro walikuwa wanapata tabu sana kwa kutekwa magari yao ya sukar kutoka mtibwa, alikuwa na kikundi chake cha utekaji, alikuja kuuwawa getin kwake baada ya kujichanganya na kuteka gari ya mke wa waziri mkuu mstaafu kuchua kiasi kibubwa cha hela alichokuwa nacho na kumbaka, huo ndo ulikuwa mwisho wake, alikuwa amemweka kamanda wa moro mfukoni, hakuna tukio lililoripotiwa polisi kuhusu yeye akakamatwa.
Waziri mkuu mstaafu yupi
 
Tofauti ipo, ila wwote ni wavunja sheria.
Kwahiyo tunaweza kumkamata kumpa kipigo, kisha tunamvalisha tairi na kumchoma moto kama hawa?
IMG_1637311327608.jpg
 
We boya kweli,

Mimi nime.tetea hapo??

Halafu wewe kakudhurumu Nini Hadi umlalamikie??

Waliodhurumiwa wamelalamika kivyao , Ni haki Yao !

Namimi ambaye sikudhurumiwa kiwanja utanilazimishaje na Mimi niwe sehemu ya wanaolalamika??

Kama wao walitendewa vibaya wanalalamika , Ni haki Yao,

Hata Mimi niliyetendewa vizuri kumsifu ni haki yangu ,Wewe kipi kinakuuma??

Tuliza kende zako mtoto mrembo wa kishombe shombe
Yote hiyo ni sababu ya umasikini
 
Waziri mkuu mstaafu yupi
kama hukusikiaga hilo tukio lililotokea kati ya chalinze na moro miaka ya 2010+ basi baki ulivo, maza house alikuwa anaelekea dom akiwa na kitita cha maana kwenye gari. na ni kikosi maalumu kilitumwa kutoka dar kumrestisha mwamba, mwamba alimalizwa getin kwake maeneo ya forest, kamanda wa moro hakuwa na ubabe hata wa kumuweka mwamba rumande.
 
Wanaccm ni kawaida yao kwa utapeli
Chama limejaa wahuni, matapeli na mafisadi
 
Fair enough mkuu ila ilitakiwa waziri awe na docket,huwezi kumpeleka mtu mahabusu bila ya docket,pia huwezi kumweka suspect more than 48 hrs kabla ya kumpeleka kwa court
Nadhani zile sheria za kumweka mtu kuzuizini zimerudi tena. Hata kama ni tapeli lakini apewe haki yake ya msingi. Ndio mambo mema aliyotuachia magufuli. Sema kinachonifurahisha sasa hivi wanakamatana wenyewe, tofauti na zamani walivyokuwa wanawakamata wapinzani
 
Du naona wana JF tumeshamhukumu Mr. Msama,tuangalie upande wa pili wa coin,je waziri kumpeleka suspect police ametumia sheria gani?,je suspect amefunguliwa docket police?je police wameshafanya uchunguzi na kuthibitisha tuhuma dhidi ya suspect?ni vema kama nchi tukaanza kuishi kisheria sio mihemko ya kisiasa,sasa huyu anatakiwa apelekwe kwa court within 48 hrs je police wana kesi dhidi yake?,KATIBA mpya ni muhimu maana walalamikaji wangeweza kwenda kwa PP kutoa malalamiko yao kama police haikuwasikiliza,kitendo hiki cha waziri kwangu ni NO na udhalilishaji,huwezi kumtoa suspect hadharani kabla ya kupanda kwa court
Sheria kwa mwenye pesa ni ngumu atakushinda tu
 
Nilishasemaga humu huyu jamaa
Ni mzushi sana...
Kwa wanaomjuwa huyu jamaa
Wala hawahangaiki,dili zake issue zake nyingi ni longolongo
Ukifanya naye jambo kulipa napo
Mtihani!
Pale alipopangaga mgahawa wa food point opposite na bestbite
Napo alitaka kumletea usanii mwenye eneo pale,mama yangu mama naniii---kwenye mkataba
Msama sjui alimchukulia poa yule mama,yule mama alipomuhusisha mme wake mtu ambaye tena yuko kwenye mfumo,alimtoa baru msama pale kama mwizi
Huyu msama anajifanya pekee yake anaijuwa hela
Alafu sasa kwa kujifanya mchamungu 😄

Ova
Umenikumbusha mbali 2016-2018 sana kabla ya yeye kupanga pale kulikuwa na Eaters Point best Pizza 🍕 ila ndo walifunga ndo akapanga yeye,alikuwa anakuja pale kama mteja ila mbwembwe kibao
 
Back
Top Bottom