Huu ni upumbavu mwingine,Nkanini sijasema kuundwe tume,Nkanini hapendi kabisa tume wakati police wapo,ninachouliza je kuna police docket (case number)na police walishafanya uchunguzi wa tuhuma hizi?Nkanini anapenda nchi iongozwe kwa mujibu wa kisheria na sio mihemko ya kisiasa,suspect anakutana na waziri na baada ya mahojiano waziri anahukumu kuwa suspect apelekwe kituoni,hii ni craze na upumbavu wa police yule anatii maamuzi ambayo sio ya kiutendaji wao,ndio maana Urais wangu police wote above 40 yrs nitawastaafisha ,nita recruit new young guys below 35 yrs na kuwapeleka nje kwenye mafunzo,traffic officer's Botswana,police wa kawaida UK&Canada,immigrations &customs New Zealand,special units Iran &Israel,foresinc guys USA,within 5yrs nchi itasimama wima