Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Nilichogundua ni kwamba huku kwenye siasa Kuna wezi na majambazi wengi sana wanazotumia kivuli Cha uanachama hasa CCM kupiga deal chafu
 
Usituletee maigizo na huyo tapeli mwenzako
 
Tapeli lako limekwisha,za mwizi ni 40 na zimetimia tayari, mwendo wa kuelekea gerezani amesha uanzaa kule police, akitoka police jalada lake linakwenda kwa DPP, DPP nae atalisogeza mahakamani, Mahakama nayo itawapelekea Magereza ili Tapeli lako lihifadhiwe huko! Na huo ndiyo mnyororo wa haki jinai unakua umetimia barabara!! Nyie ma wakili wa michongo safari hii hampati kitu, Matapeli yote tunaenda kuyaweka nyuma ya Nondo ili mfee njaa na hivyo vi office vyenu lazima mtazifunga,hatucheki na kima safari hii!!
 
Fair enough ungeazia na real owners wa UDA na Nyati cross borders transporters,na pia lile hekalu pale msoga,yule mpangaji mkuu alilijenga kwa mapato yake halali au kodi yangu ilikua pitched,Tanzania lazima iendeshwe kisheria,ulivyoelezea hapo juu ndio Serikali ya ccm inavyofanya,tayari hukumu imeandikwa Lumumba street
 
ukishaona mtu anajifanya sijui nabii sijui mtume sijui matamsha ya dini gani sijui kaa naye chinjo atakuwa ana mambo yake nje ya pazia tu.
 
Waziri mkuu mstaafu yupi
 
Yote hiyo ni sababu ya umasikini
 
Waziri mkuu mstaafu yupi
kama hukusikiaga hilo tukio lililotokea kati ya chalinze na moro miaka ya 2010+ basi baki ulivo, maza house alikuwa anaelekea dom akiwa na kitita cha maana kwenye gari. na ni kikosi maalumu kilitumwa kutoka dar kumrestisha mwamba, mwamba alimalizwa getin kwake maeneo ya forest, kamanda wa moro hakuwa na ubabe hata wa kumuweka mwamba rumande.
 
Wanaccm ni kawaida yao kwa utapeli
Chama limejaa wahuni, matapeli na mafisadi
 
Fair enough mkuu ila ilitakiwa waziri awe na docket,huwezi kumpeleka mtu mahabusu bila ya docket,pia huwezi kumweka suspect more than 48 hrs kabla ya kumpeleka kwa court
Nadhani zile sheria za kumweka mtu kuzuizini zimerudi tena. Hata kama ni tapeli lakini apewe haki yake ya msingi. Ndio mambo mema aliyotuachia magufuli. Sema kinachonifurahisha sasa hivi wanakamatana wenyewe, tofauti na zamani walivyokuwa wanawakamata wapinzani
 
Sheria kwa mwenye pesa ni ngumu atakushinda tu
 
Umenikumbusha mbali 2016-2018 sana kabla ya yeye kupanga pale kulikuwa na Eaters Point best Pizza 🍕 ila ndo walifunga ndo akapanga yeye,alikuwa anakuja pale kama mteja ila mbwembwe kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…