TANZIA Mfanyabiashara Andrew Mollel afariki dunia (mmiliki wa Happy Sausages)

Marehemu Andrew George hakuwa Masai au Mwarusha kama jina lake la mwisho lilivyo.

Alipokuja Arusha kutoka Moshi kwao alikaa vizuri na waarusha wakampa ukoo kwa heshima, naye akaamua kulitumia hilo jina la ukoo alilopewa kuanzia miaka hiyo na wazee wa kiarusha wakambariki kuanzia wakati huo akafanikiwa sana kimaisha.

Watoto wake Kelvin na Happy walipozaliwa wakakua walijua wao ni waarusha pia.

Apumzike kwa amani mzee wetu AGM
 
Ametokea Moshi sehemu gani na jina lake la Ukoo ni lipi Mkuu?
 
Huyu jamaa enzi za UNICTR walipiga sana hela za kodi za nyumba pale Njiro, maarufu kama PPF kupitia mradi wa AGM Holding japo kulikuwa na vimaneno kuwa alikuwa chawa wa EL
 
Mwanaume Mzima Kujiita Handsome ni Kiashiria kibaya sana na dalili tosha kuwa hauko Rijali vile vile. Free
Ugly boys wanajijua walivyo , the same to the handsome boys.
Bahati mbaya umkute kidume sura kama kibabu na pesa hana inakuwa noma sana.
 
Hivi ni kweli besti sababu kuu na ya kipekee mwanamke kuchanganyikiwa ni pale anampata mwanamume anayejua kugegegeda vizuri sana halafu huyo mwanamume ni maskini balaa hana hela
RIP mzee wetu, nina rafiki waliokuwa wamepata tenda wanasupply kwenye biashara yako.

Mkuu Nguseroh kuna siku moja taarifa ya kifo itakuwa yako, watu wako wa karibu watakuwa wanapigiwa na kuambiwa tuna habari mbaya, "Nguseroh katutoka" kwasabu wote ni njia moja tuonyeshe heshima kidogo hata kwenye nyuzi zinazomuhusu marehemu maana watu wake wa karibu wanazisoma au watazisoma. Ujumbe unaoandika unakaa hapa kwa miaka mingi sana mbeleni. Inshort, humu ni moja ya eneo la msiba. Onyesha heshima kwa kuepuka kutoa maoni ya ngono au kejeli zisizo na umuhimu kwenye eneo hili la Tanzia.
 
Hapana wa Elerai Constructions, Northern Engineering ni Lema.
Kabla ya hii northern engineering kulikuwa na nyingine ikiitwa NEM, northern electrica---- ilikuwa njiro mtaa wa viwandani,ilikuwa ni ya mmasai akiitwa Mollel pia,ila sijui kama ni huyu Andrew george.
 
Je ni kweli kuwa baba au mama yake alikuwa mzungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…