Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

Hilo jamaa linaonekana kabisa kua ni pumbavu
 
Hata hivyo taarifa zinadai kwamba tayari jeshi la polisi limempandisha mahakamani mfanyabiashara huyo huku msichana huyo Teleza akipatiwa hifadhi maalumu na jeshi hilo.
Hii huruma ni mpya
Jeshi linatunza watu for free!
 
Katika hatua nyingine Maganga anadaiwa kumfanyia ukatili wa kutisha mke wake wa ndoa mara baafa ya kumwamuru dereva wake amshushe kwenye gari porini wakati wakisafiri kuelekea Mkoani Singida .
Dot hizi zinaweza kuunganika vizuri
 
huyu siyo msukuma ila ana jina la maganga lakini ni watu wa babati mali ni za dada ambaye ni kiongozi hiyo ni kampuni ya speed way yeye ni msimamizi wa mali za dada anamatukio mabaya hata Tanga aliwahi kutishia watu na bastola sasa imekula kwake
Msenge anatamba kwa mali za dada, acha aende akafilwe selo
 
Hii story imejaa uchochezi!
Hapa Kuna vita binafsi.
Maelezo hayaelekeani!
 
Asilimia kubwa ya wababa hula mabinti wa kazi na hata ndugu wa wake zao, imekukuwa tu Siri Fulani.
 
Hii issue ina mambo mengi kidogo kwa uelewa wangu wa tafakuri.

1. Jamaa ana stress na frustration za maisha. Hayupo vizuri na mke na nahisi huyo mke ana jamaa mzito wanashirikiana kumpiga vita jamaa apotee wamiliki mali. Hili suala litakuwa linachangia awe kama mnyama na hasira muda wote. Huyo binti atakuwa amemchoma kweli na pasi kwasababu ya hizo stress zake.
2. Siamini alikuwa analazimisha ngono kwa binti ndio maana akamchoma. Hii imeunganishwa tu ili kuongeza uzito wa jambo. Mke atakuwa anahusika hapa. Hii akiwa smart anaipiga chini kirahisi tu mahakamani.
3. Hii vita sio ya mfanyakazi na huyo jamaa. Bali ni vita ya mke na mume na mwanamke amecheza smart
4. Bado mke anapata pointi zaidi kwa jamaa kuajiri mgeni nchini bila kibali cha kufanya kazi nchini. Analo
5. Suala la yeye kuwataka kimapenzi wafanyakazi wa vituo vya mafuta halina mashiko. Kwanza ni watu wazima wana maamuzi yao. Pili ushahidi hakuna kwamba alikuwa anawataka kimapenzi. Akikataa wao wanatakiwa wathibitishe kuwa aliwataka. Na sio kwa maneno. Wakiweza kuweka ushahidi japo wa sms hiyo ni sawa.
6. Asipotuliza akili huyu jamaa ataishia pabaya. Huyo mke alie nae sio mtu sahihi kwake, au yeye sio mtu sahihi kwa mke. Wanajua wenyewe.
7. Kwa ujumla jamaa amevurugwa, akavurugika na kaingia mkenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…