Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

Hajui kutongoza? Hana Telegram? Mtu unamiliki vituo vya mafuta alafu una mikato ya ajabu ajabu au ndiyo power trip. Kazingua sana, najua atatoka kwasababu kafanya kitu kila mtu mwenye mamlaka Tanzania anafanya.
 
Tupo kwenye confused world (thoughts). Tunaziendea njia za mawazo yetu. Na hatutaki kuirudia njia ya kututoa kwenye confusion ambayo ni Yesu Kristo. Upendo, haki, amani na furaha.
 
Hamna watu wak
atili na wajinga kama wasukuma
Zamani nilikuwa najua wanaume wa Kikurya wanaokata viungo vya wake zao na kuwachoma moto ni makatiri. Nikajua sio kweli, ni wapole sana. Nilienda kule nikaona wanawake wa huko ni jeuri, viburi, wabishi na wababe. Sasa ili maisha yasonge lazima mwanaume ajiongeze awe juu. Atawale, ndio hayo sasa wanaume wakaitwa makatili.

Na ukizingatia suala la wanawake limeshakuwa siasa, mtaji wa kisiasa likapigiwa chapuo kwa mwanaume kuonekana mhalifu
 
Inadai kuwa Maganga mara baada ya kuitwa kituo cha polisi Muriet alifanikiwa kuwarubuni polisi wa juu wa kituo hicho na kufanikiwa kumwachia ,ambapo Maganga aliamua kumsafirisha binti huyo ili kuelekea kwao kwa kwa wakala aliyemleta,ikiwa lengo ni kuficha ushahidi.

Vipi hao polisi wa hicho kituo waliomuachia kwa kurubuniwa wako wapi?

Au wameachwa tu waendelee na tabia zao za kukubali kurubuniwa?
 
Huyu jamaa ni Psychopath.

Msukuma mpumbavu kuliko wote nchini. Una uwezo wa kumiliki Petrol station zaidi ya moja ila uwezo wa kupata kum@ ambazo zimezagaa kila kona huna. Ni mambo ya kusikitisha na hayapendezi.
Jamaa siyo msukuma..ni wairaq..watu wa manyara
 
Nakubaliana na wewe. Wasukuma ni moja ya kabila lenye watu waungwana. Japo Magufuli aliwaharibia, na huyu naye naona hata sura yake ni kama ya Magufuli.
Magufuli hakuwa msukuma bana , kabila lake lipo ndani ya wasukuma ndio mana. Jpm hakuwa msukuma na akijua ksukma
 
Sijui mnawaita matajiri huko ila wengi wao ni washamba ni kama pesa imekosea njia !

Ova
 
kichwa cha chini ukikidekeza kila kitaka k unakipa kuna wakati kina anza kuchagua mara hakitaki wakubwa kinataka watoto mara wenye makalio makubwa kama cha kwangu hakitaki wembamba wenye makalio na vibinti sijui kina nitakia nin
 
Polisi wa Tanzania wanafanya kazi nzuri sana 🙌
 
Back
Top Bottom