Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

Mfanyabiashara Arusha amchoma mfanyakazi wake na pasi

Una hela halafu unalazimisha mapenzi tena housegirl.Ukimtaka house girl tumia mbinu hizi:-
1. Kuwa serious nae mbele za watu.
2. Mkibaki wawili usianze kumshobokea.
3. Mbane asitoke nje ili asipate mtu wa kumpunguzia upwiru.
4. Anza na vizawadi vidogo kama vile pipi ukiona anapokea usimwambie chochote ujue anaelekea kibra.
5. Usimtongoze kirasmi fanya kama unamtania vile na akikubali tu uje utupe mrejesho.
Tanbihi:
Mke anaweza akawa mgumba lakini sio house girl
 
Back
Top Bottom