[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mlisema mama yenu kafungua nchi!Huyu kiongozi wa Dar Uccm unamsumbuwa ameshindwa kujificha.
Haya majitu ya Ccm ni laana kwa Taifa.
Kwa hiyo wewe ungekuwa raisi ungeruhusu huo unyonyaji uendelee unaosababisha wananchi kukimbilia nchi nyingine kwasababu ya kuogopa kubadilisha watu kila siku?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa mkuu ungeuwa Rais ungebadilisha watu kila siku kisa kelele za kinafiki.
Na serikali ipo halafu haijui!!mimi mtoto wa mkulima, unalingine la kusema? unaambiwa watu wana mali kwenye magodauni hawataki kulipa kodi! fuatilia issue au hoja iliyopo
sawaNa serikali ipo halafu haijui!!
TRA wapo.
Polisi wapo.
TISS wapo.
Mtendaji wa Mtaa yupo.
Mtendaji kata yupo.
Katibu Tarafa yupo.
Mkuu wa Wilaya yupo.
Mkurugenzi wa Halmashauri yupo.
Meya wa Jiji/Manispaa yupo.
Hao wote wapo na hilo hawalijui kweli!!??
Kuna ulazima na umuhimu wa kuwa na lundo la watu wote hao wanaoitwa viongozi kama mambo ya hovyo namna hiyo yanafanyika "under their noses"!!??
We unafikiri hii changamoto haikuwepo kipindi cha Magufuli?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mlisema mama yenu kafungua nchi!
Mnafanya biashara zenu kwa kujinafasi, vipi tena?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usihadaike na Kelele hizo. Serikali lazima ikusanye Kodi iwe isiwe.Kwa hiyo wewe ungekuwa raisi ungeruhusu huo unyonyaji uendelee unaosababisha wananchi kukimbilia nchi nyingine kwasababu ya kuogopa kubadilisha watu kila siku?
Hapa sasa akili zimekurudia mzee wa SIMBA GUVU MOYAAAWe unafikiri hii changamoto haikuwepo kipindi cha Magufuli?
Utofauti unaofanya uone haikuwepo ni kwamba kile kipindi isingewezekana kufanya mgomo kutokana na udikteta wa Magufuli
Kwamba wafanyabiasha wanaweza kuzuiwa na wanasiasa wasigome kweli huna akili?We unafikiri hii changamoto haikuwepo kipindi cha Magufuli?
Utofauti unaofanya uone haikuwepo ni kwamba kile kipindi isingewezekana kufanya mgomo kutokana na udikteta wa Magufuli
Nimekaa kariakoo toka 2007 najua kuliko weweHuwezi elewa
TBC wamezingua sana leoVunjabei alistahili apewe muda zaidi awasilishe matatizo ya wafanyabiashara wenzake. Ameongea points tupu mpk tbc walikata matangazo
Huwezi tunza pesa ka huna akiliWafanya Biashara wapo na akili Sana,
Nimeamini PESA na akili is the same thing
Awamu hii waliweka Kodi za ovyoovyo yaani kina Mwigulu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usihadaike na Kelele hizo. Serikali lazima ikusanye Kodi iwe isiwe.
Shida yenu mlidanganywa sana na Rais Magufuli.
Magufuli alitumia nguvu kubwa kuboresha kanda ya ziwa, Dar Es Salaam na Dom tu. Mikoa mingi hali ilikuwa mbaya sana, kimiundombinu na kiuchumi.
KWa huu mkutano ni wa kariakoo peke yako?Nimekaa kariakoo toka 2007 najua kuliko wewe
Muhimu zaidi ni kwa wafanyabiashara maana ndio wanaokutana na hiyo kadhia ya TRA.Swala la kodi ni la kitaifa. Inabidi lifundishwe mashuleni ili kuwajengea Watanzania uelewa wa umuhimu wa kulipa kodi na masuala yote ya kikodi yanavyotakiwa kufanyika.
Ukifanya biashara na ukawa na EFD, tena VAT registered utaelewaTRA inabidi iandae short course ya VAT kwa wafanyabiashara, wengi awaielewi.
Inaonekana wengi awadai wanayolipia wakishanunua bidhaa. VAT sio kodi ya mfanyabiashara.
Serikali itawasikiliza, wewe baki hapoHao wafanyabiashara ni wanaa, si wa kuwachekea wala kuwabembeleza hawana hoja za msingi, kodi walipe. Kwanza hawana jeuri ya kufunga maduka yao muda mrefu watakufa njaa, wakome kuitishia serikali
Kodi ipi ya hovyo iliyowekwa? Kodi za hovyo alianzisha Magufuli. Kama hujui uliza. Yule Shetani bora alivyokufa maana hata uhuru huo wa wafanyabiashara haukuwepo.Awamu hii waliweka Kodi za ovyoovyo yaani kina Mwigulu