Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Huyu jamaa aliyevaa form six anamwaga madini sana

Hata sisi tulikuwa tunajiuliza kivipi TV inch 43 double glass ukiwa Congo unauziwa 400K lakini hapa Kariakoo single glass unauziwa 800K?

Huu ni wizi wa wazi inawezekana vipi Congo ambayo haina bandari iwe na nafuu kuliko sisi wenye bandari chungu nzima?
 
Vunja bei tangu mwanzo anaonekana ni mtu aliepangwa, anaanza kwa kusema mkutano ukiisha wakafungue maduka pili anawalalamikia wafanyabiashara kuwa hawana elimu ya kodi hayo mambo ma2 peke yake yanaonesha wazi sio mtu wa kumtilia maanani.

Wewe bwana umeamua tu kutokuwa msikivu ila mambo mengi sana ya msingi yamesemwa leo na hao unaowachukulia poa.
 
Mkuu,
Tunapenda sana kukosoa kosoa na kutoa kasoro....Embu wew tupe hoja zako za msingi.....

Haters na wew sioni utofauti.....
 
Hoja ni nyingi....

Hii hoja dhidi ya mh.Mwigulu Nchemba haina mashiko kwenye madai yao.....hii ni hoja ya kisiasa tu.....imetumbukizwa na mh.Boniface Jacob ?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…