Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Matajiri kuna wakati walitaka kusaidia lakini kilichowapata wanajua wao... bidhaa zote zinazohusinana na Matibau au kusaidia Corona TDFA wamepewa madaraka wavipime kwanza na kabla hujaagiza upate kibari hapo ndio changamoto utaiona.Hapo mwisho na kunukuu, "jamaa amepoteza Uhai kwa kukosa uduma, jana alizidiwa akapelekwa Aga khan akakosa mashine kumejaa, Regency kumejaa, nasikia walihangaika hospital kibao" , mwisho wa kunukuu....
Tokea siku ile aliyotangaza mweshimiwa kuwa barakoa kutoka nje zina vidudu vya corona so lazima kwanza vipimwe ndio kama ikawa vimezuiliwa hasara watu walikula na vilichukuliwa kupimwa kimoja ikawa ''G''