Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

mbona kuna baadhi ya picha zikiwekwa humu JF mm sizioni kwenye mashine yangu! for example sioni kitu kwenye hii thread
 
<quickprintreadystate style="display: none;"></quickprintreadystate>Kaburi halihitaji mbwembwe wangeweka na Sitting room,Gym na hata AC
 
kila nafsi itaonja mauti, R I P Erasto a.k.a The Billionaire
 
Dah hizo mbwembwe tu ila kaburi ni kaburi hata kama halijawekwa marumaru
...Kama ile siku ya wafu kufufuliwa ipo kweli basi huyu jamaa ameliwa maana hizo slabs za gege zilizopigwa hapo ndani plus plasta ya cement juu kwa kweli ni hatari....
 
May be!!!!!
 
...Kama ile siku ya wafu kufufuliwa ipo kweli basi huyu jamaa ameliwa maana hizo slabs za gege zilizopigwa hapo ndani plus plasta ya cement juu kwa kweli ni hatari....
ha ha ha..., yaani huwa nashangaa sana mawazo ya hawa wenzetu, kuogopa kuweka slab juu ya kaburi eti itakuwa ngumu kufufuliwa siku ya mwisho... Nguvu na Mungu inayoweza kuhamisha milima, inashindwaje kubomoa slab! kumbuka huo wote ni udongo tu. si cement wala vigae vyote udongo tu. na hakuna linaloweza kumshinda yeye aliye juu.
 

Teh teh teh teh!
Hio njiro ni jina la mnyama au tawi la CHADEMA!!?
Yaani Arusha pia pa kujidai?? Brbr utafkiri tuko old stone age! Mashimo utafkiri mmeanzisha machimbo mengine ya dawa za kusafisha meno brbrni!?

Teh teh teh teh
 
Wabongo bwana, kubishana kwingi mambo yasiyo na tija. Kweli bado tunatawaliwa na umaskini wa kifikra. R.I.P bro
 
Wabongo bwana, kubishana kwingi mambo yasiyo na tija. Kweli bado tunatawaliwa na umaskini wa kifikra. R.I.P bro

Mkuu hebu chukua dakika moja ujiulize hapa! Na hii si utani.

Hivi unaposema R.I.P bro. Unamwambia marehemu!? au wasomaji wa jf?

Manake umaskini wa fikra uko.mwingi!!
 
mkikosa cha kubishania munafukunyua hadi mizoga ya thread ili tu mubishane!! Nyati sana nyie!
 
Mkuu hebu chukua dakika moja ujiulize hapa! Na hii si utani.

Hivi unaposema R.I.P bro. Unamwambia marehemu!? au wasomaji wa jf?

Manake umaskini wa fikra uko.mwingi!!

Mada inahusu binadamu kupigwa risasi na kufa. Kumtakia alale pahali pema peponi cyo umaskini wa fikra. Umaskini wa fikra ni kumjadili mtu alekufa kwa style ya kumkebehi au kuponda mtu au eneo flani au ukanda kibaguzi as if wewe hutokufa au kama unaishi peponi
 

Mkuu mi sijamkashifu mfu wala sina tabia hio.
Nimemjibu yule bwana aliyekuwa anajigamba tu kuhusu ubora wa hapi njiro anapoishi!.
Thats all.
 
He was in pursuit of happines,thinking money will make his fantasy come reality,but it was all a dream,u get rich=enemies=envy=death,RIP.
 
Huyu sio bilionea?

Hivi ningekuwa Arusha na haka ka-Noah kangu na ile gesti nayomiliki pale manzese midizini...pengine na mimi ningekuwa kwenye listi za ma A-lieonea......maana bado kidogo nitafika kwenye listi ya ma B-lionea....
 
Wamesakwa, wamekamatwa, wameshitakiwa sita, watano wamenyongwa, mmoja ushahidi haukutosha, sasa wananchi tumeanza kuwalaumu polisi.

Ubinadamu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…