Bilionea wa madini ya Tanzanite Erasto ameuwawa kwa kupigwa risasi.Habari zaidi zitafuata baadae.
tena sana, unataka kunisaidia kuya solve? na wewe alikutapeli? mxsiii Erasto awatapeli kwa shs ngapi, labda mlitapeliwa na huyo "chusa" wenu.
huyu chusa si amemuondoa mtu juzi tu jamani! Kweli ubinadamu kazi!
Wanasema kuna visasi:
Kuna jamaa anaitwa Mtinange walishaleteana sana ktk mambo ya buainess mpaka Erasto akamfunga.
Issue ya Chusa(jamaa aliyeuwa juzi kule tz1) walikuwa hawaivi ktk mambo ya business.
Wake za watu alikuwa ni mtaalam sana wa kuwapa huduma za kimwili na maumbile
Ndo tatizo watu wa Arusha akishakuwa na Resort hapo Sakina mnaanza kumuita Billionair,,sema ana hela yakusaidia familia yake.[/QUOTE
Thamani ya hiyo resort ni Billions! Na kaijenga kwa pesa zake wala si mkopo kutoka benki...na bado ana assets nyingine..kwa mazingira ya kitanzania na umaskini huu tulionao huyu ni billionea..
sio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
achana nae,hajui anachokisema
R.I.P.
Alikuwa ame upgrade hotel yake hivi karibuni na nafikiri alikuwa hajamaliza. Alikuwa muhimu kwa maendeleo ya Arusha..na taifa kwa ujumla. Nafikiri serikali inatakiwa kuliangalia upya swala la kumiliki silaha..maana wafanyabiashara wa madini wengi wanamiliki silaha..wenda ikawa wanazitumia vibaya.
Mkubwa hapo juu umenena kweli! Umiliki wa silaha umekuwa hovyo kweli kweli.
alipanda chai maharage ikamleta mjini huyo, wengine sisi ni "watoto wa disco malapa" hajui lolote huyo.
Forbes wanamjua? Kina Slim wataitwa nani sasa? Mfano mi nina nyumba yangu nimeijenga kwa Mil.100 utaniita Millionair?Thamani ya hiyo resort ni Billions! Na kaijenga kwa pesa zake wala si mkopo kutoka benki...na bado ana assets nyingine..kwa mazingira ya kitanzania na umaskini huu tulionao huyu ni billionea..