Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.

Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachohusika na maji (plumbing) na ni nadra sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya Ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake katika soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.

Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni. Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.

Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
 
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa Kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.
Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) Ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachouusika na maji ( plumbing) na Ni nadra Sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake ktk soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.
Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni.
Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.
Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
taja jina lake mwenye pesa ajifichu ngoja tusubili ifike
 
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.

Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachohusika na maji (plumbing) na ni nadra sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya Ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake katika soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.

Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni. Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.

Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
Zongiiiiii
 
Tatizo viwanja.kuna kitu kimoja kama mnakumbuka uzi biashara ya ndege ni kichaa nikapingwa vikali basi ili ndio serikali ilitakiwa kuwekeza viwanja ili kila tajiri kufanya baishara ya anga hapa ndani
 
Daaah. Yani wewe ni mjinga sana. Umeficha jina lake na aina ya ndege aliyonunua, vitu ambavyo Wala havipaswi kuwa Siri hata kidogo.
ndege yenyewe ameahanunua sasa...? Hata msanii wao pendwa daimondiii alisema ndege ipo njiani mpka leo hakuna kitu uyo chawa tu
 
Back
Top Bottom