Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

Sawa tu niwe mtupu nisiwe mtupu, ulitaka nikuonyeshe uwezo wangu ulinilipia ada hata cent.
Nyau kiziwi.
DW SIO kila mara inamaanisha docha welle sometimes inamaanisha Dirty Woman ( from lock site)
 
Sawa tu niwe mtupu nisiwe mtupu, ulitaka nikuonyeshe uwezo wangu ulinilipia ada hata cent.
Nyau kiziwi.
Oya mi sijasema...mi nawakubali sana twende Amazon nikakuombe msamaha kwa niaba ya huyu Punguwani..
 
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.

Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachohusika na maji (plumbing) na ni nadra sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya Ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake katika soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.

Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni. Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.

Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
Kama nusu b unaukwaa mwewe kama unazo.
 
Back
Top Bottom