Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.

Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachohusika na maji (plumbing) na ni nadra sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya Ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake katika soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.

Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni. Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.

Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
Kusadikika, unanunua ndege ya kutembelea? Ukitaka wenda sokoni, shambani, dilukani nk unaitumia
 
Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele.

Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni mfanyabiashara mkubwa wa vifaa vya maji na kila kitu kinachohusika na maji (plumbing) na ni nadra sana kwa mtu yeyote yule anayetumia huduma za maji Kanda ya Ziwa ambaye hajatumia bidhaa zake. Huku ikidhaniwa kuwa share yake katika soko la plumbing ikiwa karibia asilimia 89.

Pia aina ya ndege inaendelea kubaki kapuni. Ndege inategemewa kufika nchini wiki ijayo ambapo mara tu baada ya kutua itaelekea mkoa wa Mara kwenda kupewa baraka na wazee wa mkoa huo ambao ndio hasa asili ya kijana huyo mchapakazi.

Vijana tufanyeni kazi haya yanawezekana.
Kwa ujinga huu tutapata kweli Katiba Mpya?
 
Au ni yale mandege ya kupaa angani usiku kuwanga?
 
Jina la tajiri kapuni
Jina la ndege kapuni.

Kulikuwa na haaja gani ya kuandikau uzi huu
 
Hongeren sana Wakurya.. Mnapambana kuwafikia Wachaga
 
Back
Top Bottom