TANZIA Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga

Mlevi hawezi kujinyonga, hilo wazo na nguvu kujitumdika anatoa wapi? Mke wake alikuwa wapi mpaka jamaa anakutwa asubuhi amejinyonga.
Sahihi kabisa Mkuu,

Eti Mke alikua akiwaomba majirani wamsaidie kumbeba mumewe ili wamuingize ndani,

Halafu eti asubuhi wanakuta kajinyonga!

Hapa kuna kitu kinafichwa,uchunguzi unahitajika.
 
Madeni ya benki, stress za kiuchumi na kibiashara zinachangia pakubwa sana kujiuwa kwa wafanyabiashara wengi.
 
Biashara kwa sasa zinahali mbaya sana, watu hawana pesa alafu ukifikiria kufilisika ndio kabisa unaona bora ufe tu
 
Kwa
Kwa hiyo akijinyonga mkewe akiwa wapi?

Achenu Conclusion za kindezi.

Afrika hata mtu akiuawa hakuna anayejali mnakimbilia tu kajinyonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…