TANZIA Mfanyabiashara mwenye maduka ya vinywaji vya jumla na rejareja Mjini Babati, Peter Mushi amekutwa ndani kwake amefariki dunia baada ya kujinyonga

Uchagani mafukara wengi tu
Soma ripoti ya nbs kilaza wewe Kilimanjaro hali ya umaskini ni 10% tu
90% wana kipato kikubwa na cha kati
Pia Kilimanjaro ndio mkoa wenye makazi bora vijijin kitaifa
Kilimanjaro hakuna mtu analala nyumba ya nyasi
Pia Kilimanjaro 80% ya kila kaya kuna maji na umeme njoo usafishe macho wewe mshamba wa kyerwa
 
MIkOpo mikopo mikopo
 
Acha uwongo wewe,machalii wa kichaga kibao tunawatuma mjini hapa,njaa mpaka kwenye kope
 
Bongo bila uchaguzi tunakua na majibu tu kajinyonga na polisi wanatoka na majibu hayo hayo bila hata kufanya uchunguzi wowote..
 
Tujifunze kuwacheki wale tunaowapenda....people are going through a lot

Anyway apumzike alipopaandaa
 
Mithali 31:6 “Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.

7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake”.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…