Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Mtoa taarifa ametaka awe yeye ndie wakwanza kuleta bandiko hapa juu ya hayo mauaji, kwahiyo kutokana na uharaka uo ndiomaana habari yake haina nyama za kutosha.
Mkuu tukio lilijiri usiku, imegundulika asubuhi. Mimi nimeandika mtandaoni saa 11 jioni kwa kile nilichopata. Ila taarifa ya habari usiku huu Azam wameitoa.
 
Mi nishaapa nikiwa na uwezo wa kupata milion 20 kama faida Kwa mwaka lazima niwe na bunduki, handaki ndani ya nyumba, na mambwa Saba makali, camera, alamu milangoni na madirishani.

Wabongo ni wakatili sana ukiwa na pesa utawindwa na wafanyabiashara wenzio, pia utapeli na wizi sio mzur
 
Back
Top Bottom