and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Ok
Huyu jamaa kuna kipindi alikua na bastola hata sijui imekuajeNawahurumia sana wanaofanyaga biashara ya fedha unakuta mtu ana mzigo mpaka million 20 anaizungusha lakini hana silaha.
sana aisee watz makatili mbwa. wacha nizidi kuzichanga nikaishi zangu Botwsana au Namibia kwa wastaarabuMuda sana nlishasemaga hili
Hakuna watu katili kama wabongo,wasauzi,waxhosa,warangirangi mule mule Tlaatlaah
Ova
kuanzia rais mpaka wananchi ni makatili mbwahii nchi ina watu makatili sana
Zile zama za kuchukuliana poasana aisee watz makatili mbwa. wacha nizidi kuzichanga nikaishi zangu Botwsana au Namibia kwa wastaarabu
DuhKuna matukio mengine mawili hayo maeneo. Taarifa zitafika kwa wakati wake.
Ukingia kwenye mfumo wa watuhii nchi ina watu makatili sana
nagonga nyundo hapo pa mfumo kuwa katili unafanya wananchi kuwa makatili zaidiZile zama za kuchukuliana poa
Sijui namuachia mungu inazidi kuondoka!
Mfumo unavyozidi kuwa katili
Watu nao wanakuwa makatili
Tena huko pembezoni ya mji kumalizana ndiyo rahisi
Ova
Dunia uwanja wa fujosana aisee watz makatili mbwa. wacha nizidi kuzichanga nikaishi zangu Botwsana au Namibia kwa wastaarabu
Dhuluma ni mbaya sanaKatika biashara epuka sana dhuluma ?
Hiyo itakuwa mambo ya mabiashara....tunagonga nyundo hapo pa mfumo kuwa katili unafanya wananchi kuwa makatili zaidi
Ukiona mauaji ya namna hiyo ujue wahanga Kuna mtu walimdhurumu. Kwahiyo ni halali yaoBinadamu tumekuwa katiri sana
Sana...mimi na ujanja wangu,makeke yangu yote ila kudhulumu mtu noooo...Dhuluma ni mbaya sana