Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Mtu na mke wake wachinjwe ila wasipige kelele yoyote.
Wauaji wana ustadi wa kiasi gani??
 
Imeelezwa kuwa, marehemu baba wa familia hiyo alikuwa mfanyabiashara mwenye uchumi wa kati.
Hata hivyo, wauaji hao hawakuchukua chochote licha ya madai ya kukutwa kwa pesa nyingi juu ya kitanda chumbani.🤔🥺😔 DHULUMA!?
Inaonekana baada ya wauji kutimba wahanga walitoa pesa ili kumalizia ishu lakini ikawa too late
 
Mi nishaapa nikiwa na uwezo wa kupata milion 20 kama faida Kwa mwaka lazima niwe na bunduki, handaki ndani ya nyumba, na mambwa Saba makali, camera, alamu milangoni na madirishani.

Wabongo ni wakatili sana ukiwa na pesa utawindwa na wafanyabiashara wenzio, pia utapeli na wizi sio mzur
Sasa 1.7 kwa mwezi ndio ikununulishe bunduki mzee🤔😂😂
 
Mtu na mke wake wachinjwe ila wasipige kelele yoyote.
Wauaji wana ustadi wa kiasi gani??
Kuna mwanaume alichinjwa huko Kilwa mke wake akiwa chini ya uvungu damu ikimumeagikia lakini hakuthubutu hata kupiga kelele
 
Mi nishaapa nikiwa na uwezo wa kupata milion 20 kama faida Kwa mwaka lazima niwe na bunduki, handaki ndani ya nyumba, na mambwa Saba makali, camera, alamu milangoni na madirishani.

Wabongo ni wakatili sana ukiwa na pesa utawindwa na wafanyabiashara wenzio, pia utapeli na wizi sio mzur
20m kwa mwaka mzima sasa bunduki ya nini.
Wauza chupi kkoo iyo wanaingiza in a day
 
Sasa 1.7 kwa mwezi ndio ikununulishe bunduki mzee🤔😂😂
We chizi mtu anaeingiza milioni ishirini Kwa mwaka kama gross profit baada ya matumizi yote ya muhimu huyo ni boss Kwa maisha ya kitanzania.

Kuna asilimia Zaid 50 ya watanzania wahajawahi miliki milion 2 ya pamoja hadi wanazeeka na wananyumba mjini za kujistiri na wanaishi vizur
 
Kwahyo hata ile Prado tx na RAV 4 zitakuwa hazionekani pale dukani kwake?🤔🤔

Daah Yule jamaa alikuwa mstaarabu sana pale dukani kwake makuburi karibu na Samaria hotel.

Kuna namna ni kama alijua hili tukio kwasababu miezi minne nyuma alimuondoa mfanya kazi wake akamuweka mwanae kama msimamizi pale.

Namuombea sana yule mwanae aendeshe biashara kama baba yake japo huwa ni ngum kusimamia biashara kama hujaianzisha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom