evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,989
- 9,948
Nahisi labda walipuliziwa dawa ya usingizi halafubhau wauaji wakaingua ndani kwa kutumia funguo za kutengenezaWewe unahisi ni nini kilitokea
Nahisi labda walipuliziwa dawa ya usingizi halafubhau wauaji wakaingua ndani kwa kutumia funguo za kutengenezaWewe unahisi ni nini kilitokea
Milion 20? Mbona pesa ndogo sana aisee. Ukiruhusu hilo nchi itajaa masilaha kila sehem. Milion 20 sio hela nyingi bro.....Nawahurumia sana wanaofanyaga biashara ya fedha unakuta mtu ana mzigo mpaka million 20 anaizungusha lakini hana silaha.
Na damu zote za watu wawili kusiwe hata na matone ya damu yaliodondoka wakati mtu anakimbia kutoka njeNahisi labda walipuliziwa dawa ya usingizi halafubhau wauaji wakaingua ndani kwa kutumia funguo za kutengeneza
🥺🥺🥺🥺Nakuongezea Wauwaji wamechukua bastola tu na risasi wameacha mtaalamu fungua kodi mm inanishida...
Malengo ya jambazi/mwizi huwa ni hayaKwa nini uwaite majambazi na hakuna walichochukua zaidi ya uhai?
jambazi ~ mwizi anayeiba kwa kutumia silaha
hapana mkuu, usikariri,.....huku kwetu kuna wafanya biashara wawili waliuawa kwa sababu ya kukopesha,...yani unamkopesha mtu hela kwenye biashara zenu, ye anakutumia wauaji , ili asikulipe.....Ukiona mauaji ya namna hiyo ujue wahanga Kuna mtu walimdhurumu. Kwahiyo ni halali yao
If u don't gelly it , forget about it.Hili ni swali?
A sioWatanzania wameonyesha makucha yao kuwa ni watu wakatili sana kwa unyama unaoendelea Nchini..
Hilo neno membeni mwa mji i kina wale hawataki kulisikia kila tukiwambia huko hakupaswi kuishi wanabisha haya sasaZile zama za kuchukuliana poa
Sijui namuachia mungu inazidi kuondoka!
Mfumo unavyozidi kuwa katili
Watu nao wanakuwa makatili
Tena huko pembezoni ya mji kumalizana ndiyo rahisi
Ova
Halafu silipendi hili neno huona kama wanaoishi huko mazipe zipe unakaaje bonyokwaNikiona neno Bonyokwa namkumbuka John Mrema