mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,756
- 6,294
Nipo kwenye andaki huku kwetu, natoka nje kwa mahesabu sanaš We jamaa huogopi eeee
Nipo kwenye andaki huku kwetu, natoka nje kwa mahesabu sanaš We jamaa huogopi eeee
Kama ayatollah Khomeini š¤£Nipo kwenye andaki huku kwetu, natoka nje kwa mahesabu sana
Mkuu Bubduki hailing pesa ila mifumo ndiyo inalinda pesaWw unaduka la chupi kariakoo na unaingiza hyo million 20 Kwa siku?
Kila mtu na maisha yake nikitoa million 2 kulinda faida yangu ya milion 18 Kwa mwaka ninahasara Gani?
Ndiyo mmchore hivyo jamani?Kifo ni kifo acha niwe kama lucas View attachment 3366088
Hata mimi nilihisi hivyo! Lakini tena nikajihoji mwenyewe yaani hiyo familia hawakusikia hata purukushani? Mtu uchinjwe hata usitoe sauti?Nilivyofuatilia nimehisi kuwa
Mume kamuua mkewe kwa purukushan kubwa na kumchoma na kitu hadi umauti
Baada ya hapo akaingiwa na pepo la uoga na asijue afanye nini akaamua kuvunja dirisha atokee huko kwa kuogopa akitokea mlangoni anaweza kutana na madogo kwa bahati mbaya
Bila kujua afanye nini akaona kukimbia sio suruhisho akaamua kujichoma na kisu ili afe nayeye
Kabla ya kukata roho alikificha kisu alichotumia kumuua mkewe na kujichoma nayeye pia
Alirudi ndani na kurudishia mlango na kufia kwenye kiti
Huu sio uchunguzi ni assumption zangu baada ya kufuatilia simulizi mbalimbali
Nakuongezea Wauwaji wamechukua bastola tu na risasi wameacha mtaalamu fungua kodi mm inanishida...Imeelezwa kuwa, marehemu baba wa familia hiyo alikuwa mfanyabiashara mwenye uchumi wa kati.
Hata hivyo, wauaji hao hawakuchukua chochote licha ya madai ya kukutwa kwa pesa nyingi juu ya kitanda chumbani.š¤š„ŗš DHULUMA!?
Fyi alikuwa na silaha na ndio wame sepa nayo wameacha risasi... upo?kuna haja ya kubadili taratibu za umiliki wa silaha ndani ya nchi hii,unakuta mtu anamiliki fedha na mali nyingi lakini hana hata silaha ya kujihami kutokana na ugumu wa upatikanaji wake
Mmmh hapana mkuu umeandika vitu vya kufikirika sana ila practically mbona naona kama haiwezekani?Nilivyofuatilia nimehisi kuwa
Mume kamuua mkewe kwa purukushan kubwa na kumchoma na kitu hadi umauti
Baada ya hapo akaingiwa na pepo la uoga na asijue afanye nini akaamua kuvunja dirisha atokee huko kwa kuogopa akitokea mlangoni anaweza kutana na madogo kwa bahati mbaya
Bila kujua afanye nini akaona kukimbia sio suruhisho akaamua kujichoma na kisu ili afe nayeye
Kabla ya kukata roho alikificha kisu alichotumia kumuua mkewe na kujichoma nayeye pia
Alirudi ndani na kurudishia mlango na kufia kwenye kiti
Huu sio uchunguzi ni assumption zangu baada ya kufuatilia simulizi mbalimbali
Wacha ujinga mangi!20m kwa mwaka mzima sasa bunduki ya nini.
Wauza chupi kkoo iyo wanaingiza in a day
Inatisha watoto! Hii kikwetu tunaita IKANGIJOPicture Ya Mama Wanu Usiitumie Tena
Ndo uje na zile conclusion zenu za uongo na kweli? Sema hukuwepo na hutojua chochote zaidi ya kukisia kisiaHabari haijakamilika. Ungetaja majina, aina ya biashara pengine ingetupa clue ya kuchangia mada
Hili ni swali?Katika biashara epuka sana dhuluma ?
Kungekutwa kisu au kifaa cha kutekelezea huo uharifuMbona umehitimisha wamechinjwa wakati hakuna shahidi.!?
Kwani haiwezekani mtu kuchinja mwenzake na kujimalizia mwenyewe
Kumbe jamaa aliyouwawa alikuwa anamiliki bastolaNakuongezea Wauwaji wamechukua bastola tu na risasi wameacha mtaalamu fungua kodi mm inanishida...
Wewe unahisi ni nini kilitokeaMmmh hapana mkuu umeandika vitu vya kufikirika sana ila practically mbona naona kama haiwezekani?
One of the possible assumptionMbona umehitimisha wamechinjwa wakati hakuna shahidi.!?
Kwani haiwezekani mtu kuchinja mwenzake na kujimalizia mwenyewe