Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Mfanyabiashara na mkewe wachinjwa kikatili Bonyokwa, watoto wagundua asubuhi!

Daah ilikua kitambo sana aisee wapi Cape hiyo au Jozi..
Wakat yuko cape....ila jamaa kauzu yule alikuwa si unaona walikuja mngoa mpk sikio
Kuna siku nko kwake walipita watu walipiga njugu za maana
Mdg wake mmj yule H yeye ndy alihamia huko Latin America

Ova
 
Wakat yuko cape....ila jamaa kauzu yule alikuwa si unaona walikuja mngoa mpk sikio
Kuna siku nko kwake walipita watu walipiga njugu za maana
Mdg wake mmj yule H yeye ndy alihamia huko Latin America

Ova
Yap bila ukauzu Dzonga ni ngumu nimekaa Cape miaka hiyo pia baadae nikahamia Pretoria na Jozi mpaka leo kule chini sijashuka nina muda mrefu sana aisee..
 
Daah,! Jamaa nasikia ndani alikua na millioni 60. Alizotoka kukusanya kwenye maduka yake
Ila cha kushangaza majambazi hawakuchua hata senti

Wapumzike wanapostahili! 🙌
 
Daah,! Jamaa nasikia ndani alikua na millioni 60. Alizotoka kukusanya kwenye maduka yake
Ila cha kushangaza majambazi hawakuchua hata senti

Kwa nini uwaite majambazi na hakuna walichochukua zaidi ya uhai?

jambazi ~ mwizi anayeiba kwa kutumia silaha
 
We chizi mtu anaeingiza milioni ishirini Kwa mwaka kama gross profit baada ya matumizi yote ya muhimu huyo ni boss Kwa maisha ya kitanzania.

Kuna asilimia Zaid 50 ya watanzania wahajawahi miliki milion 2 ya pamoja hadi wanazeeka na wananyumba mjini za kujistiri na wanaishi vizur
Dah ko tusiyo na bunduki una tushauri tutafute ehh?,

Ila Asante kwa niita chizi na boss. 🤣😂
 
Dah ko tusiyo na bunduki una tushauri tutafute ehh?,

Ila Asante kwa niita chizi na boss. 🤣😂
Samahan kwakukuita chizi, lkn ni jambo la wazi mtu anaepata milion 20 Kwa mwaka kama faida Kwa tanzania ni tajiri sana.

Tafiti zinaonesha asilimia 75 ya watanzania wahajawahi miliki milion 5 hadi kuzeeka kwao na wengine Hadi kufa
 
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hakuna takwimu rasmi za kitaifa zinazoonyesha kwa usahihi asilimia ya Watanzania waliowahi au wanaomiliki Shilingi milioni 5 kwa pamoja. Hata hivyo, tafiti mbalimbali na ripoti zisizo rasmi zinaonyesha kuwa idadi ya watu wanaomiliki kiasi hicho cha fedha ni ndogo.

Uchambuzi wa Takwimu Zilizopo:

- Kipato cha Kaya: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Shirika la Habitat for Humanity International (HFHI) na Tanzania Mortgage Refinance Company (TMRC) umebaini kuwa kaya nyingi za Kitanzania zinaishi kwa kipato cha kati ya Shilingi 80,000 hadi Shilingi milioni 1.5 kwa mwezi. [1]

- Utunzaji wa Fedha: Ripoti ya FinScope inaonyesha kuwa asilimia 70.4 ya Watanzania wanatunza fedha zao nyumbani badala ya kutumia taasisi rasmi za kifedha kama benki au SACCOS. [2]

- Umiliki wa Mali: Utafiti usio rasmi umeonyesha kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watu wazima wenye umri wa miaka 45 na kuendelea hawajawahi kumiliki Shilingi milioni 5 kwa pamoja. [3]

Hitimisho:

Ingawa hakuna takwimu rasmi, viashiria kutoka kwa tafiti mbalimbali vinaonyesha kuwa ni asilimia ndogo sana ya Watanzania waliowahi au wanaomiliki Shilingi milioni 5 kwa pamoja. Hii inadhihirisha hali ya kipato cha chini na changamoto za kiuchumi zinazowakabili wananchi wengi.
 
Samahan kwakukuita chizi, lkn ni jambo la wazi mtu anaepata milion 20 Kwa mwaka kama faida Kwa tanzania ni tajiri sana.

Tafiti zinaonesha asilimia 75 ya watanzania wahajawahi miliki milion 5 hadi kuzeeka kwao na wengine Hadi kufa
Naelewa Sana, infact Nisha enda sehemu yebo za kuvaa kwa watoto ni kipengele
 
Sana...mimi na ujanja wangu,makeke yangu yote ila kudhulumu mtu noooo...
Mwanadam/mbongo sahv usimchukulie poa

Ova
nzuri hiyo. safi sana mwamba. kudhulumu sio ujanja ni ufala na kutostaarabika
 
Back
Top Bottom