Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Wasukuma hatuna tabia hizo kwa kweli haya mambo hayaeleweki kwa kweli
 
Huyu Jamaa ni genius Nan issue yake inasikitisha sana . Suala kama hawezi kumuona kamishna wa TRA ni Kwa nini ngazi zote anazotegemea kuwa msaada ashindwe kuwafikia karibu mkuu hola, Waziri mkuu vile vile na Raisi imekuwa ndoto .jamaa kama anafanyiwa umafia
 
sahihi kabisa
 
jaman bado hajapata haki yake ni muda mrefu, nakuambuka habari yake nilisoma kwenye gazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…