Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watahukumiwa kwa wanayo yatenda Yaani ukatili kila sehemuDuh mi mwenyewe nashangaa hii ishu nimeanza kuisikia 2017 sijui
Ila jamaa mbishii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watahukumiwa kwa wanayo yatenda Yaani ukatili kila sehemuDuh mi mwenyewe nashangaa hii ishu nimeanza kuisikia 2017 sijui
Ila jamaa mbishii
Tatizo Watanzania wana makelele sana halafu ni wanafki,siku ya kupiga kura matokeo yakitangazwa hautaamini macho yako.Nashauri Lissu atulie nyumbani asipoteze muda na pesa, maana humu kila post inasema hakuna wa kumpigia kura magufuli, kuanzia wanafunzi, wafanyakazi, machinga, wastaafu, jobless
Nk
Hakuna ukabila bali ubinaadamu unatosha kufanya hakiWasukuma hatuna tabia hizo kwa kweli haya mambo hayaeleweki kwa kweli
SawaHuwenda wanatawalia na roho ya pepo, siunajua ukiwa na roho ya ukatili hukufanya kila siku uzidi kuwa katili. Ukiwa na roho ya uuwaji ujue haitakuacha salama bali utaendelea kuuwa tu ndio roho inaridhika.
Kwani jamaa ni mtu wa wapi yule?Sababu hatoki Chato na si Msukuma.
PoaWao ndiye wanasema: "Tumtangulize Mungu mbele"!!!
KabisaHali ni tete
Fuatilia hayo mahojiano yake, hautachoka kumsikilizaKwani jamaa ni mtu wa wapi yule?
Fuatilia hayo mahojiano yake, hautachoka kumsikiliza
Ndio ni muha wa Kigoma, ila anaonekana ana uwezo sana wa akili japo ni std 7. Ni mfanya biashara mkubwaSawa nitamfuatilia ila uongeaji wake ni kama myu wa Kigoma
sahihi kabisaHuyu Jamaa ni genius Nan issue yake inasikitisha sana . Suala kama hawezi kumuona kamishna wa TRA ni Kwa nini ngazi zote anazotegemea kuwa msaada ashindwe kuwafikia karibu mkuu hola, Waziri mkuu vile vile na Raisi imekuwa ndoto .jamaa kama anafanyiwa umafia
Kauli mpya mjiniIlibidi pembeni awepo msemaji wa srikali ili kuweka mizania
Hasara za mamilioni ya pesa alizopata mfanyabiashara Ramadhan wa Kariakoo kwa kukandamizwa na TRA na Polisi, kwa yeye kukataaa kutoa rushwa.
Hapa chini nimeweka link za Yuotube kusikiliza mateso haya aliyo yapitia huyu mfanya biashara wa Kariakoo.
View attachment 1532937
Mmeshamlipa?Mb
Mbona ya siku nyingi? Au unafikiri itawasaidia kwenye kampeni?
jaman bado hajapata haki yake ni muda mrefu, nakuambuka habari yake nilisoma kwenye gazetiTRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama