Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Wasukuma hatuna tabia hizo kwa kweli haya mambo hayaeleweki kwa kweli
 
Huyu Jamaa ni genius Nan issue yake inasikitisha sana . Suala kama hawezi kumuona kamishna wa TRA ni Kwa nini ngazi zote anazotegemea kuwa msaada ashindwe kuwafikia karibu mkuu hola, Waziri mkuu vile vile na Raisi imekuwa ndoto .jamaa kama anafanyiwa umafia
 
sahihi kabisa
 
TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko baada ya tukio hilo, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa baada ya tukio hilo, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wametuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka kichwa kime stack. Watoto waliokuwa wakisoma shule walisimama kwa kukosa ada. Dhambi hii haita waacha salama
jaman bado hajapata haki yake ni muda mrefu, nakuambuka habari yake nilisoma kwenye gazeti
 
Back
Top Bottom