Mambo yake yamefikia hapa TRA acheni kumchafua Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaHuyu jamaa ni wa kitambo na sijui mambo yake yanaendeleaje.
Jamaa anadai karibu bilioni moja sasa kwa awamu hii ni nani aingie hazina achote bilioni moja ampe?...yaani ni bora ibaki hivyo kwamba maagizo ya Wakubwa hayajatekelezwa kuliko hiyo pesa itoke.
Tatizo ni Mkulu atapokea hiyo taarifa ya kutoa bilioni moja hazina?Mambo yake yamefikia hapa TRA acheni kumchafua Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Kama hayajatekerezwa tekeleza wewe basiIssue hii usingize siasa ya uchama
Hapo kna mtu Amedhulumiwa
Na Kuna maagizo waziri mkuu aliyatoa kwa Hao TRA
Hawajayatekeleza
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mbona ameshatoa hiyo kauli, ila utekelezaji ni 0Tatizo ni Mkulu atapokea hiyo taarifa ya kutoa bilioni moja hazina?
Mbona jamaa.kalalamika sana Mh Rais ni.mfuatiliaji why only this guy who is very intelligent ? What is behind it? Inaniuma mno. Haki za binadamu wako wapi ina maana wanaandamana mambo ya siasa tu?Kuna mchezo anachezewa,viongozi wa juu wa nchi hawaujuwi
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Sasa ina maana muda wote jamaa analalamika hayajafika kwa Mkulu?.Mbona ameshatoa hiyo kauli, ila utekelezaji ni 0
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Atafutiwa uraia
Hata mimi nimewaza kama wewe wanaona hiyo pesa nyingi sana ndio maana wanatupiana mpira kila siku.Huyu jamaa ni wa kitambo na sijui mambo yake yanaendeleaje.
Jamaa anadai karibu bilioni moja sasa kwa awamu hii ni nani aingie hazina achote bilioni moja ampe?...yaani ni bora ibaki hivyo kwamba maagizo ya Wakubwa hayajatekelezwa kuliko hiyo pesa itoke.
Ila inawezekana huyo mha pia akawa mtata maana ukifikiria TRA kuingia na kufungulia maji mzigo hapo ni issueHayo ya tra ni hatari kama imetokea kweli, lakini huyo mfanyabiashara ana asili ya udhurumaji mkubwa,
Sina la zaidi ukitaka kumfahamu zaidi tembelea barabara ya uhuru kwa majirani zake utapata habari zake kwa uhakika.
Kuna mwarabu mmoja kapigwa hiyo nyumba anayoishi na kufanyia biashara huyo mlalamikaji,
Kasumbuka na kesi mpaka kaamua kutulia tu maana ilikua kila akifika eneo la nyumba hiyo anapoteza fahamu mpaka anarudishwa Kwake hajitambui.
Pia huyo jamaa ni wakili asiyeusomea uwakili wake, ukiwa na kesi mkabidhi yeye atatumia kila hila kuifanya kesi hiyo ife yenyewe ama mdai aikimbie.
Unafikiri mi CCM inaelewa basi?Tanzagiza, walipo amua bunge kutokuwa live mataga wa lumumba wakacheka kwa furaha kisa wapinzani walikuwa wanapinga hiyo sheria.
Baada ya miaka 4 wanapitisha sheria kama ile sasa ni kwa woote hata hao lumumba hawatakiwi kuisikiliza bbc wala DW wala VOA [emoji23][emoji23]
Lema aliwahi kusema kuwa wakitumaliza sisi wapinzani basi watahamia kwenu wana ccm na sasa yametimia
Hao watu ndiyo kikwazo cha maendeleo yetu nchi mzimaUnafikiri mi CCM inaelewa basi?
Hapo ndipo unajua kuna watu nchi hii w hawamuogopi cha Waziri mkuu wala rais,yaani rais ameagiza mtu alipwe pesa zake lkn TRA wamegoma miezi mingi sasa.Huyu jamaaa bado hajapata haki yake? Takribani miezi minne sasa Raisi yuko kimyaa juu ya mtu huyu.