Hayo ya tra ni hatari kama imetokea kweli, lakini huyo mfanyabiashara ana asili ya udhurumaji mkubwa,
Sina la zaidi ukitaka kumfahamu zaidi tembelea barabara ya uhuru kwa majirani zake utapata habari zake kwa uhakika.
Kuna mwarabu mmoja kapigwa hiyo nyumba anayoishi na kufanyia biashara huyo mlalamikaji,
Kasumbuka na kesi mpaka kaamua kutulia tu maana ilikua kila akifika eneo la nyumba hiyo anapoteza fahamu mpaka anarudishwa Kwake hajitambui.
Pia huyo jamaa ni wakili asiyeusomea uwakili wake, ukiwa na kesi mkabidhi yeye atatumia kila hila kuifanya kesi hiyo ife yenyewe ama mdai aikimbie.