Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Asichokijua huyu mzee huo nio mfumo unaolelewa na ccm,wafanya biashara wengi ana wamefilisiwa na TRA
 
Kuna mchezo anachezewa,viongozi wa juu wa nchi hawaujuwi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mbona jamaa.kalalamika sana Mh Rais ni.mfuatiliaji why only this guy who is very intelligent ? What is behind it? Inaniuma mno. Haki za binadamu wako wapi ina maana wanaandamana mambo ya siasa tu?
 
Hayo ya tra ni hatari kama imetokea kweli, lakini huyo mfanyabiashara ana asili ya udhurumaji mkubwa,
Sina la zaidi ukitaka kumfahamu zaidi tembelea barabara ya uhuru kwa majirani zake utapata habari zake kwa uhakika.

Kuna mwarabu mmoja kapigwa hiyo nyumba anayoishi na kufanyia biashara huyo mlalamikaji,
Kasumbuka na kesi mpaka kaamua kutulia tu maana ilikua kila akifika eneo la nyumba hiyo anapoteza fahamu mpaka anarudishwa Kwake hajitambui.

Pia huyo jamaa ni wakili asiyeusomea uwakili wake, ukiwa na kesi mkabidhi yeye atatumia kila hila kuifanya kesi hiyo ife yenyewe ama mdai aikimbie.
 
Pole sana kaka, hii nchi sio kabisa, uonevu, rushwa na matumizi mabaya ya madaraka vimetawala
 
Huyu jamaa ni wa kitambo na sijui mambo yake yanaendeleaje.

Jamaa anadai karibu bilioni moja sasa kwa awamu hii ni nani aingie hazina achote bilioni moja ampe?...yaani ni bora ibaki hivyo kwamba maagizo ya Wakubwa hayajatekelezwa kuliko hiyo pesa itoke.
Hata mimi nimewaza kama wewe wanaona hiyo pesa nyingi sana ndio maana wanatupiana mpira kila siku.
Kwa sababu wanapewa target ya makusanyo ya kodi ili zipelekwe kwenye miradi ya miundombinu.

Ingekuwa milioni 50 au 100 wangemlipa kitambo tu.
Kama ulifuatilia kuna video moja walitaka kumlipa milioni 150 kwa kisingizip kwamba wamefuatilia akaunti zake za benki na kugundua transactions zake zinaonyesha alikuwa na hela hizo kipindi hicho ulipotokea huo mgogoro.

Kwa hiyo walikuwa wanataka kumpumbaza akili wakijua labda jamaa ni mbumbumbu kwa vile hajasoma ila mwishoni jamaa anakuwa king'ang'anizi na kuwapa hoja konki hadi mpango wao unavurugika wanaanza upya tena.
Halafu jamaa ana machale makali sana akiongea nao mara 1 tu anashtukia michezo wanayowaza anawachana live.
 
Ukisikiliza hii press conf ya leo kama Waziri Mpango ni Muungwana anapaswa kubwaga manyanga.
 
Hebu lipa hilo Deni,hayo madeni yatakuwa ya nyuma,wafanyabiashara wengi kipindi cha nyuma walikuwa magumashi...huwezi pewa Deni ambalo halipo tafuta wakili akusimamie kujua Deni lilipotokea,
 
Na Kama hukubaliani nenda mahakamani kaishtaki serikali kupiga kelele kwetu tukusaidie nini
 
Hayo ya tra ni hatari kama imetokea kweli, lakini huyo mfanyabiashara ana asili ya udhurumaji mkubwa,
Sina la zaidi ukitaka kumfahamu zaidi tembelea barabara ya uhuru kwa majirani zake utapata habari zake kwa uhakika.

Kuna mwarabu mmoja kapigwa hiyo nyumba anayoishi na kufanyia biashara huyo mlalamikaji,
Kasumbuka na kesi mpaka kaamua kutulia tu maana ilikua kila akifika eneo la nyumba hiyo anapoteza fahamu mpaka anarudishwa Kwake hajitambui.

Pia huyo jamaa ni wakili asiyeusomea uwakili wake, ukiwa na kesi mkabidhi yeye atatumia kila hila kuifanya kesi hiyo ife yenyewe ama mdai aikimbie.
Ila inawezekana huyo mha pia akawa mtata maana ukifikiria TRA kuingia na kufungulia maji mzigo hapo ni issue
 
Tanzagiza, walipo amua bunge kutokuwa live mataga wa lumumba wakacheka kwa furaha kisa wapinzani walikuwa wanapinga hiyo sheria.

Baada ya miaka 4 wanapitisha sheria kama ile sasa ni kwa woote hata hao lumumba hawatakiwi kuisikiliza bbc wala DW wala VOA [emoji23][emoji23]

Lema aliwahi kusema kuwa wakitumaliza sisi wapinzani basi watahamia kwenu wana ccm na sasa yametimia
Unafikiri mi CCM inaelewa basi?
 
Kumbe tuñdulisu anayoongea kuhusu wafanyabiashara ni kweli
 
Huyu jamaaa bado hajapata haki yake? Takribani miezi minne sasa Raisi yuko kimyaa juu ya mtu huyu.
Hapo ndipo unajua kuna watu nchi hii w hawamuogopi cha Waziri mkuu wala rais,yaani rais ameagiza mtu alipwe pesa zake lkn TRA wamegoma miezi mingi sasa.

Yaani kuna watu rais akitoa maagizo wanaona kama anawapigia kelele tu wanajua hana ubavu wa kufanya chochote.
 
Back
Top Bottom