Dhamabi sana na watahukumiwa kwa waliyo yafanyaTRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wamaetuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka. Dhambi hii haita waacha salama
Huenda mwisho unakaribiaKuna unyama kwa wafanyabiashara nchi nzima
Hali ni teteAtafutiwa uraia
Dawa pekee ni kwa Watanzania kuunganisha nguvu zetu kwenye uchaguzi na kuwakataa ccmHakuna marefu yasiyo na ncha,
Wao ndiye wanasema: "Tumtangulize Mungu mbele"!!!Kwani waotutesa hawajui kama kuna MUNGU?
Delete ccm Oct 28Hasara za mamilioni ya pesa alizopata mfanyabiashara Ramadhan wa kariakoo kwa kukandamizwa na TRA na Polisi, kwa yeye kukataaa kutoa rushwa.
Hapa chini nimeweka link za Yuotube kusikiliza mateso haya aliyo yapitia huyu mfanya biashara wa Kariakoo.
View attachment 1532937
Mbaya sana aiseechali cha mende
Leo wameamuru redio zote zinazorusha habari za vyombo vya magharibi "mabeberu" ziache kufanya hivyo. Shida kwelikweli! Lissu huyu; ametupa matatizo sisi wapenzi wa kusikiliza BBC, DW, n.k. Asingekuwa Lissu kugombea urais mambo yangeendelea kuwa swafi.Dawa pekee ni kwa Watanzania kuunganisha nguvu zetu kwenye uchaguzi na kuwakataa ccm
Ngokonghima. Kwa hiyo ameshinda?Nashauri Lissu atulie nyumbani asipoteze muda na pesa, maana humu kila post inasema hakuna wa kumpigia kura magufuli, kuanzia wanafunzi, wafanyakazi, machinga, wastaafu, jobless
Nk
Hapo hapo wajiandae kupokea mdololo kwa media zoote za ndani kwani watu watazidi kuzikimbia kama ilivyo kwa tiibiisii ambao kwa sasa wamejikita kwenye chereko tuLeo wameamuru redio zote zinazorusha habari za vyombo vya magharibi "mabeberu" ziache kufanya hivyo. Shida kwelikweli! Lissu huyu; ametupa matatizo sisi wapenzi wa kusikiliza BBC, DW, n.k. Asingekuwa Lissu kugombea urais mambo yangeendelea kuwa swafi.
Sema Watanzania wote wenye sifa ya kuwa Watanzania wapo na mh LissuNashauri Lissu atulie nyumbani asipoteze muda na pesa, maana humu kila post inasema hakuna wa kumpigia kura magufuli, kuanzia wanafunzi, wafanyakazi, machinga, wastaafu, jobless
Nk
Yuzidi kumuomba Mungu azidi kutuunganisha Watanzania ili 28.10.2020 tuipe adhabu ccmRaisi ajae hasa lissu anatakiwa kutambua huu upuuzi na kutuondolea fasta baada tu ya kuapishwa!
Yaani serikali inakosa vyanzo vya mapato na kuamua kutunga na kupitisha sheria kandamizi ili wanaojichanganya wapigwe faini ndefu ili waingize mapato!?
Mwisho wa ukandamizaji huu ni oktoba!
Jamaa walipiga kufuli duka lakeKuna unyama kwa wafanyabiashara nchi nzima
Ni wakati wa kufichua uovu wa ccm sasa, leteni malalamiko yote tutayajumlisha kwenye hukumu ya ccm October.Hasara za mamilioni ya pesa alizopata mfanyabiashara Ramadhan wa kariakoo kwa kukandamizwa na TRA na Polisi, kwa yeye kukataaa kutoa rushwa.
Hapa chini nimeweka link za Yuotube kusikiliza mateso haya aliyo yapitia huyu mfanya biashara wa Kariakoo.
View attachment 1532937
Hivi huyo jamaa hadi leo hii hajarudishiwa mali zake?
Wamempotezea sana mudaDuh mi mwenyewe nashangaa hii ishu nimeanza kuisikia 2017 sijui
Ila jamaa mbishii