Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

TRA walimfirisi na wakamuibia, Dada yake alifariki kwa mshtuko, na mke wake huyu jamaa alipata kichaa, ukienda kumuona Muhimbili anachoongea ni ''TRA wamaetuibia, TRA wametufirisi'' kaehuka. Dhambi hii haita waacha salama
Dhamabi sana na watahukumiwa kwa waliyo yafanya
 
Nashauri Lissu atulie nyumbani asipoteze muda na pesa, maana humu kila post inasema hakuna wa kumpigia kura magufuli, kuanzia wanafunzi, wafanyakazi, machinga, wastaafu, jobless
Nk
 
Dawa pekee ni kwa Watanzania kuunganisha nguvu zetu kwenye uchaguzi na kuwakataa ccm
Leo wameamuru redio zote zinazorusha habari za vyombo vya magharibi "mabeberu" ziache kufanya hivyo. Shida kwelikweli! Lissu huyu; ametupa matatizo sisi wapenzi wa kusikiliza BBC, DW, n.k. Asingekuwa Lissu kugombea urais mambo yangeendelea kuwa swafi.
 
Hapo hapo wajiandae kupokea mdololo kwa media zoote za ndani kwani watu watazidi kuzikimbia kama ilivyo kwa tiibiisii ambao kwa sasa wamejikita kwenye chereko tu
 
Nashauri Lissu atulie nyumbani asipoteze muda na pesa, maana humu kila post inasema hakuna wa kumpigia kura magufuli, kuanzia wanafunzi, wafanyakazi, machinga, wastaafu, jobless
Nk
Sema Watanzania wote wenye sifa ya kuwa Watanzania wapo na mh Lissu
 
Raisi ajae hasa lissu anatakiwa kutambua huu upuuzi na kutuondolea fasta baada tu ya kuapishwa!
Yaani serikali inakosa vyanzo vya mapato na kuamua kutunga na kupitisha sheria kandamizi ili wanaojichanganya wapigwe faini ndefu ili waingize mapato!?
Mwisho wa ukandamizaji huu ni oktoba!
Yuzidi kumuomba Mungu azidi kutuunganisha Watanzania ili 28.10.2020 tuipe adhabu ccm
 
Huyu jamaaa bado hajapata haki yake? Takribani miezi minne sasa Raisi yuko kimyaa juu ya mtu huyu.
 
Hasara za mamilioni ya pesa alizopata mfanyabiashara Ramadhan wa kariakoo kwa kukandamizwa na TRA na Polisi, kwa yeye kukataaa kutoa rushwa.

Hapa chini nimeweka link za Yuotube kusikiliza mateso haya aliyo yapitia huyu mfanya biashara wa Kariakoo.

View attachment 1532937

Ni wakati wa kufichua uovu wa ccm sasa, leteni malalamiko yote tutayajumlisha kwenye hukumu ya ccm October.
 
Back
Top Bottom