Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

Mh R
Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha

Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116]

Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu

[emoji116]

VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli

Baadae ikafuata hii mpaka Tiss diwani Athumani yupo [emoji849][emoji849]
[emoji116][emoji116]

Takukuru yawaanika waliomuomba rushwa mfanyabiashara wa K’koo

Ndio ikafuata hii

VIDEO: Mfanyabiashara aliyegoma kuwapa rushwa TRA afunguka

Mh Rais wa wote; Commissioner wa TRA na Naibu wake ni MAJIPU YALIYOIVA..........
Sisi tunasubiri maamuzi yako ndani ya masaa 24, lkn hatukushurutishi.....

Sijui hata cha kushauri ili tabaka hili la watu jeuri wanaolindana liondoke
 
Duh inasikitisha, yaani pamoja na amri ya Rais bado anasota!
 
Kwa kweli inasikitisha sana, na inaumiza kuona mtu aliyetafuta kihalali kwa jasho lake ananyanyasika kudai Haki yake.
Natumaini njia aliyoiamua kuitumia wakati huu kudai Haki yake (media), itamsaidia.
Nimesikitika sana.

Out of mada; kwenye moja ya nyaraka za Bw. Ramadhani nimeona jina la Bw. Philip Kimune
I know him, jamaa ni mjaluo flani na mwenye majivuni.
Miaka ya nyuma nalipata kuishi nae katika moja ya Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini akiwa DRM- Audit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesikitika kwakweli mtukufu rais naomba umwangilie huyu bwana tena kwa mara nyingine tena najua unapita hapa
 
Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.

Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
Kwa ufupi ww ni mbumbumbu,unajua tofauti ya milioni,bilioni na trilioni?halafu wewe Kama huna hela Usifikiri Watu wote ni maskini Kama wewe,mali us milioni 900 kwa kkoo ni mtaji wa kawaida sana,nenda uone wauzaji wa vitenge kontena moja milion 400.
Duka la Huyu mzee ni duka kubwa kkoo yote Hakuna mfano,yani ni jengo zima.
Sasa Unafikiri Kama anamiliki nyumba kkoo Congo na uhuru huyo ni hoe hae?
 
Makonda alikua anapigiwa simu na kuandikiwa meseji hakupokea ingekua ni masuala ya matukio ya makamera haraka angepokea ubusy gani simu kapigiwa karibu mara 20

Sent from my iPhone using JamiiForums
,Makonda mbona ni mlarushwa mkubwa kabisa? Asiwafanyie usanii huyu. Huwa nashangaa Magufuli anashindwaje kumshtukia
 
Kwa ufupi ww ni mbumbumbu,unajua tofauti ya milioni,bilioni na trilioni?halafu wewe Kama huna hela Usifikiri Watu wote ni maskini Kama wewe,mali us milioni 900 kwa kkoo ni mtaji wa kawaida sana,nenda uone wauzaji wa vitenge kontena moja milion 400.
Duka la Huyu mzee ni duka kubwa kkoo yote Hakuna mfano,yani ni jengo zima.
Sasa Unafikiri Kama anamiliki nyumba kkoo Congo na uhuru huyo ni hoe hae?
Usipoteze muda kubishana na huyo mbumbumbu. Unaona eti anatamka ''tilioni''. Bwege huyo.
 
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atatufanyizia Kazi
Saa Nyingine Viongozi Ninaowateua Hawawasiliani Hivi Ulishindwa Kumwagiza OCD Ampige Pingu Huyo Manager
 
Usia
Hii

Hii case ya bwana Ramadhani hamisi Imeniuma maana na mim ni mojawapo wa mhanga ukiwa unatenda haki na kufika wakati kudai system ya mfumo utasumbuka saaana

Nampa Pole Ramadhani mimi nilidai mpaka nikamwachia Mungu
usiache kudai tutumie fursa hii .ataa mimi nadai Tra huku mkoani Arusha nazungushwa hivi hivi miaka zaidi ya minne.kwa Tra Magufuli ameingia na muda wake unaisha TRA ni Ile ile ,na madai yote ni kwa kamishna yanakwama .pamoja na kutolewa na kuletwa mwingine .mambo ni Yale Yale .inamaana kila anae ingia mara moja anaingizwa genge la uhalifu .Rais Magufuli tangaza namba ya simu tukujulishe uoza wa Tra
 
Ndugu kumbe wewe lofa sana. Nimepoteza muda kukujibu. Nisamehe sana. Sikujua.

Mzigo wa mabegi wa tilion moja anazo dai ntunzwe ! Kariakoo yte atajaza yeye!
Mi naamini amepiga faida bila kupiga risk business kwa hyo miaka!
Yeye achukue hata hyo 200ml. Kama vipi aende mahakamani akafungue kesi ya madai! Athibitishe hizo 900ml.

Bw ntunzwe hicho ndo kinachokuponza utakuwa umerubuniwa.
 
TRA mpunguze kufosi tamko la rais ni sheria ss kinachowafanya msitekeleze ni nn?Ramadhan ni mpambanaji sana Alianzia pande za Mboka miaka ya 90s akiwa na kioski mpaka akafikia level za kumiliki basi moja,
 
Back
Top Bottom